- Thread starter
- #121
Ni Issa kwenye bibulia za kiarabu wewe mmatumbi unataka kilipinga hilo, una akili kweli.Kwwhi
KWa hiyo biblia za kiarabu Jina Yesu ni Isa?
Kwadanganye wapuuzi wenzio wa madrasta
Ni Issa kwenye bibulia za kiarabu wewe mmatumbi unataka kilipinga hilo, una akili kweli.Kwwhi
KWa hiyo biblia za kiarabu Jina Yesu ni Isa?
Kwadanganye wapuuzi wenzio wa madrasta
kwahiyo injili imekanganywa kabla au baada ya Muhammad kuja na Quran??Tena Qur’an ndo kitabu peke kilio bakia bila muingilio wa binaadamu Injili ilisha halibiwa kabisa imejaa na mkanganyiko kibao, Muhammad (saw) ndo Mtume wa mwisho na kitabu chake ndo cha mwisho japo washirkina hawatamkubali ila hilo sio shida Mungu alisha lisema.
Kuanzi PAULO ndo chanzo cha kubadili mafundisho halisi ya Yesu na kuleta Utatu ambao yesu hajawahi kuufundisha ukuristo ulianzisha na paulo sio Yesu.kwahiyo injili imekanganywa kabla au baada ya Muhammad kuja na Quran??
Sasa hapa unapingana na kitabu kilichoshushwa mbona!Mkuu wewe unaniomba ushahidi wa Mariam ila wewe huleti ushahidi wa muhammad kubaka, mbona hutaki kua fair mkuu jitahidi kubalance mind y
Mkuu acha comedy unavichekosho ulishawahi kuona Mungu anakufa? Mkuu au umelewa una hungerover ya jana.
Usiogope profesa,,,usijibizane nae,mpe elimu,kinachonifurahisha hupati dhambi kufanya hivyo.Naogopa sana kujibizana na form four failure!
kwahiyo Allah anamjua paulo kama mwaribifu wa maandiko yake,una andiko lolote Allah akisisitiza hilo kwamba paulo ni mharifu wake????Kuanzi PAULO ndo chanzo cha kubadili mafundisho halisi ya Yesu na kuleta Utatu ambao yesu hajawahi kuufundisha ukuristo ulianzisha na paulo sio Yesu.
Allah wa watu mnamsingizia bure, allah huyu anayemswalia mtume hana sifa za Mungu muumba mbingu na dunia, allah huyu anayeapa kwa vitu vilivyo chini yale (alivyoviumba)hana sifa za YHWH.kwahiyo Allah anamjua paulo kama mwaribifu wa maandiko yake,una andiko lolote Allah akisisitiza hilo kwamba paulo ni mharifu wake????
hakuna muislam anayejiamini na dini yake na aliye na uhakika wa Allah wake isipokuwa mpaka watafute uhakika kwenye bible,na hapo ndipo huwa anafeli vibaya kabisa.Allah wa watu mnamsingizia bure, allah huyu anayemswalia mtume hana sifa za Mungu muumba mbingu na dunia, allah huyu anayeapa kwa vitu vilivyo chini yale (alivyoviumba)hana sifa za YHWH.
Allah ni mhuni aliyetolewa kwenye miungu ya pale Kaaba akapewa sifa zisizo zake.
Allah ana nabii mmoja tu na ndo maana wafuasi wake wanapambana sana kumpachika katika biblia lakini hatoshi.
Vurugu zote hizi za kuukosoa ukristu ni kulenga kumpa maskini wa watu allah utukufu pamoja na yule mtume wake mzee wa kushushiwa aya
Mi huwa napenda kuongea kwa ushaidi wa Aya tu:Allah wa watu mnamsingizia bure, allah huyu anayemswalia mtume hana sifa za Mungu muumba mbingu na dunia, allah huyu anayeapa kwa vitu vilivyo chini yale (alivyoviumba)hana sifa za YHWH.
Allah ni mhuni aliyetolewa kwenye miungu ya pale Kaaba akapewa sifa zisizo zake.
Allah ana nabii mmoja tu na ndo maana wafuasi wake wanapambana sana kumpachika katika biblia lakini hatoshi.
Vurugu zote hizi za kuukosoa ukristu ni kulenga kumpa maskini wa watu allah utukufu pamoja na yule mtume wake mzee wa kushushiwa aya
Muhammad ndo mtume pekee wa allah.Tena Qur’an ndo kitabu peke kilio bakia bila muingilio wa binaadamu Injili ilisha halibiwa kabisa imejaa na mkanganyiko kibao, Muhammad (saw) ndo Mtume wa mwisho na kitabu chake ndo cha mwisho japo washirkina hawatamkubali ila hilo sio shida Mungu alisha lisema.
Mkuu naona unahasira umepoteza fahamu zako nazo hua, wewe husikie wakuristo wanao sema "tumsifu Yesu kuristo".....ulisha wahi kuwauliza kwanini wana msifu huyu Yesu kuristo?Muhammad ndo mtume pekee wa allah.
Allah huyu mnaye mpigia upatu kuwa ni mkubwa kupitia allahu akbaruu ni tapeli.
Jiulize kimantiki, why allahu akbaru, mkubwa kumlinganisha na nani?
Wale miungu ya pale Kaaba?
Mungu haitaji kusemewa kuwa ni mkubwa ukubwa wake unajidhihirisha katika matendo yake.
Allah ni tapeli
Turudi kwenye mada ya allah na nabii wake!Mkuu naona unahasira umepoteza fahamu zako nazo hua, wewe husikie wakuristo wanao sema "tumsifu Yesu kuristo".....ulisha wahi kuwauliza kwanini wana msifu huyu Yesu kuristo?
Hii miaka elfu tatu ilikuwaje ?Nope hata Yeshua sio kwa Wayahudi hakukuwa na desturi ya kusulubu wahalifu misalabani bali kwenye miti .
Hadithi ya misalabani ilikuja miaka elfu tatu baadae huko Roma.
Ni nani alikwambia Mungu anakufa?Mkuu acha comedy unavichekosho ulishawahi kuona Mungu anakufa? Mkuu au umelewa una hungerover ya jana.
Imani inayojitangaza kwa mbinu ya kuinanga imani nyingine ina walakini!Ni nani alikwambia Mungu anakufa?
Kwani mtu anaweza kufufuka bila kufa, labda kama kufufuka kwake kulikuwa fake?Ni nani alikwambia Mungu anakufa?
Lakini kitabu kilichoshushwa na kisichokuwa na shaka ndani yake kinasema hakufa bado yu hai na atakuja kuwahukumu wazima na wafu!Kwani mtu anaweza kufufuka bila kufa, labda kama kufufuka kwake kulikuwa fake?
Mkuu hamna anae inanga Imani nyingine nikutojiamini tu na Imani yako, huwezi kuitetea ndo maana unaona hivo.Imani inayojitangaza kwa mbinu ya kuinanga imani nyingine ina walakini!