Huwezi kuwa Muislamu kama humpendi Isa (Yesu) au kumdhihaki

Huwezi kuwa Muislamu kama humpendi Isa (Yesu) au kumdhihaki

Mariam mama wa Yesu alikua na miaka 13 wakati anapat ujauzito wa Yesu Joseph alikua na miaka 93 wakati anamuoa Mariamu.....sasa watuambie huo pia ibakaji?
Tafadhali toa ushahidi wa maandiko katika hili.
Nilishakwambia kuwa ni kazi sana ku sanitize ubakaji wa mwamedi!
 
Kwa kweli, huwezi kuwa Muislamu ukiwa huwa umpendi na kumwaamini Malaika wote, Manabii na Mitume wote!

Qur'an (Surat Al-Baqarah 2:285):
“…Wote wanamwamini Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake. Hatubagui kati ya yeyote katika Mitume Wake…”

Uislamu ni dini ya imani kamili kwa mitume wote waliotumwa na Mwenyezi Mungu — akiwemo Yesu (Isa bin Maryam), Musa, Ibrahim, Nuhu na Muhammad (s.a.w) Waislamu Wanaamini Yesu Atarudi Kumpiga Dajjali.

Mtume Paulo ndo akaja akaharibu monotheism Gospel ya yesu akabadili muelekeo na kuunda Imani mpya ya kikuristo.

Surat Al-Ma'idah (5:116).Hii hapa tafsiri yake kwa Kiswahili:

“Na pale Mwenyezi Mungu atakaposema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa miungu badala ya Mwenyezi Mungu?

Atasema: Subhanaka! (Utukufu ni Wako!) Hakuwa haki yangu kusema nisiyokuwa na haki nayo. Kama ningelisema, bila shaka ungalijua. Unajua yaliyo moyoni mwangu, wala mimi siyajui yaliyo moyoni Mwako. Hakika Wewe ndiwe Mjuzi wa mambo ya ghaib.

Aya hii inaonyesha wazi kuwa Yesu (Isa a.s) hakuagiza watu wamuabudu yeye wala mama yake. Badala yake, alifundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee. Aya hii ni hoja muhimu katika msimamo wa Kiislamu dhidi ya imani ya Utatu.
Acha ujinga wewe kirusi Covax , Issa siyo Yesu, ukitaka kuamini mtafuta Sheikh Issa Ponda umwite Sheikh Yesu Ponda uone moto wake.
 
kwenye dini yako wenye akili hamna.
Nami nimewaona.
😳 Yhn 14:9
'Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba. '
___________&

😳Yhn 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
Tafadhali toa ushahidi wa maandiko katika hili.
Ushahidi WA kwako u wapi WA maandiko?
 
Naogopa sana kujibizana na form four failure!
 
Issah wa Quran amelisurubiwa msalabani??
Nope hata Yeshua sio kwa Wayahudi hakukuwa na desturi ya kusulubu wahalifu misalabani bali kwenye miti .
Hadithi ya misalabani ilikuja miaka elfu tatu baadae huko Roma.
 
Imetoka dhehebu moja marekani
 
Attachments

  • FB_IMG_1753060651289.jpg
    FB_IMG_1753060651289.jpg
    25.3 KB · Views: 19
Tafadhali toa ushahidi wa maandiko katika hili.
Nilishakwambia kuwa ni kazi sana ku sanitize ubakaji wa mwamedi!
Mkuu wewe unaniomba ushahidi wa Mariam ila wewe huleti ushahidi wa muhammad kubaka, mbona hutaki kua fair mkuu jitahidi kubalance mind yako.
 
Acha ujinga wewe kirusi Covax , Issa siyo Yesu, ukitaka kuamini mtafuta Sheikh Issa Ponda umwite Sheikh Yesu Ponda uone moto wake.
Kwanini u.aleta mfano kama ya watu ambao hawajaenda shule, sasa mfano gani huo mkuu?
 
Nami nimewaona.
[emoji15] Yhn 14:9
'Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba. '
___________&

[emoji15]Yhn 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.

Ushahidi WA kwako u wapi WA maandiko?
Mkuu ahsante kwa usjahidi hu huenda hizo kondo za buana zitaelewa kwamba Yesu alitumwa tu na Mungu.
 
Nope hata Yeshua sio kwa Wayahudi hakukuwa na desturi ya kusulubu wahalifu misalabani bali kwenye miti .
Hadithi ya misalabani ilikuja miaka elfu tatu baadae huko Roma.
miaka elfu 3 toka Yesu aondoke haijafika bado.
 
Imetoka dhehebu moja marekani
Kuhusu Utatu na sadaka ya Yesu, mtazamo hu ni kichekesho kwamba mafundisho hayo hayaeleweki au hayana mantiki. Kuna changamoto ya kutafakari mafundisho hayo kwa kina. Hii ni fursa ya majadiliano, si dhihaka.
 
Mkuu ahsante kwa usjahidi hu huenda hizo kondo za buana zitaelewa kwamba Yesu alitumwa tu na Mungu.
Mtume gani mwingine aliyedai ukimwoma yeye Umemwona baba yake???
 
Kuhusu Utatu na sadaka ya Yesu, mtazamo ni kichekesho kwamba mafundisho hayo hayaeleweki au hayana mantiki. Kuna changamoto ya kutafakari mafundisho hayo kwa kina. Hii ni fursa ya majadiliano, si dhihaka.
hata baadhi ya hesabu kwa wanafunzi ni vichrkesho,sababu tu hawaelewi.

nakuuliza wewe neno Mungu mmoja linamaanisha umoja katika namna ipi??Mungu ni nafsi moja au mwili na nafsi pamoja??
 
Mkuu wewe unaniomba ushahidi wa Mariam ila wewe huleti ushahidi wa muhammad kubaka, mbona hutaki kua fair mkuu jitahidi kubalance mind yako.
hata tukikubali mariam alibakwa bado utatakiwa utueleze nani alimbaka ktk umri huo maana tunajua mimba iliingia bila tendo.

kumsafisha Muhammad ni sawa na kutawadha bata,zaidi tu tuseme SAW.
 
hata baadhi ya hesabu kwa wanafunzi ni vichrkesho,sababu tu hawaelewi.

nakuuliza wewe neno Mungu mmoja linamaanisha umoja katika namna ipi??Mungu ni nafsi moja au mwili na nafsi pamoja??
Mungu hana mwili au nafsi, wewe mungu yupi mwenye mwili, wewe unajua sifa za Mungu?
 
hata tukikubali mariam alibakwa bado utatakiwa utueleze nani alimbaka ktk umri huo maana tunajua mimba iliingia bila tendo.

kumsafisha Muhammad ni sawa na kutawadha bata,zaidi tu tuseme SAW.
Mkuu tulejea kwenye Mada husika Mtume Muhammad (saw) hana dosari hata moja ni mja wa Mungu mwenye Enzi, kwahiyo huwezi kubadili kitu, tujikite hapa kwebye Isa bin Maryam.
 
Mungu hana mwili au nafsi, wewe mungu yupi mwenye mwili, wewe unajua sifa za Mungu?
Mungu hana mwili wala nafsi,na hafanani na mimi lakini ana mikono aliitumia kumuumba adam😁😁.
 
Back
Top Bottom