Huwezi kuwa Muislamu kama humpendi Isa (Yesu) au kumdhihaki

Huwezi kuwa Muislamu kama humpendi Isa (Yesu) au kumdhihaki

Huu mjadala hauna mwisho, hakuna anaejua dini ipi ni ipi lakini sote tunajua ili kwenda mbinguni ni lazima utende wema, na dini zote zimeweka wazi ni vitu gani usifanue na nini ufanye ili uende mbinguni. Tenda wema, Toa sadaka, Fanya ibada, Mengine ni rehema za mungu. Warabu walileta uislamu, wazungu walileta ukristo. Hii mada tuwaachie wao. Humu hakuma anaejua Quran iliandikwa vipi ila ukiulizwa utasema ulichoambiwa, the same na biblia. So hii mada ni waste of time
sasa utafanua ibada kwa sababu huna jinsi au kwa sababu una hakika na unachokijua???
 
hiyo nitofauti moja wapo. ila sio yenye nguvu maana hata wakristo baadhi wanaamini hivyo,ila waislam wote wanadai sio Mungu.
Mkuu sasa hapa unanipiga siasa, hata mimi nimekwambia kuna wachache, ukaswma sio shida -- ila kule wote unasema ni shida.


Hii imekaa vipi mkuu kwa muktadha wa kimahakama
 
Kwa kweli, huwezi kuwa Muislamu ukiwa huwa umpendi na kumwaamini Malaika wote, Manabii na Mitume wote!

Qur'an (Surat Al-Baqarah 2:285):
“…Wote wanamwamini Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake. Hatubagui kati ya yeyote katika Mitume Wake…”

Uislamu ni dini ya imani kamili kwa mitume wote waliotumwa na Mwenyezi Mungu — akiwemo Yesu (Isa bin Maryam), Musa, Ibrahim, Nuhu na Muhammad (s.a.w) Waislamu Wanaamini Yesu Atarudi Kumpiga Dajjali.

Mtume Paulo ndo akaja akaharibu monotheism Gospel ya yesu akabadili muelekeo na kuunda Imani mpya ya kikuristo.

Surat Al-Ma'idah (5:116).Hii hapa tafsiri yake kwa Kiswahili:

“Na pale Mwenyezi Mungu atakaposema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa miungu badala ya Mwenyezi Mungu?

Atasema: Subhanaka! (Utukufu ni Wako!) Hakuwa haki yangu kusema nisiyokuwa na haki nayo. Kama ningelisema, bila shaka ungalijua. Unajua yaliyo moyoni mwangu, wala mimi siyajui yaliyo moyoni Mwako. Hakika Wewe ndiwe Mjuzi wa mambo ya ghaib.

Aya hii inaonyesha wazi kuwa Yesu (Isa a.s) hakuagiza watu wamuabudu yeye wala mama yake. Badala yake, alifundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee. Aya hii ni hoja muhimu katika msimamo wa Kiislamu dhidi ya imani ya Utatu.
Muhammad ni tapeli tu kundi moja na wahuni kina mwamposa na kiboko ya wachawi
 
Mkuu sasa hapa unanipiga siasa, hata mimi nimekwambia kuna wachache, ukaswma sio shida -- ila kule wote unasema ni shida.


Hii imekaa vipi mkuu kwa muktadha wa kimahakama
ukisema wanafunzi wa darasa la 2 ni tofauti na wa darasa la 6 kwa sababu wa la 2 wanatoka saa 4 na wa la sita wanatoka saa nane mchana,siwezi kukukatalia kwa kigezo kwamba wote wanakuwepo shule saa mbili asubuhi nikakwambia hawa wote ni sawa.
 
ukisema wanafunzi wa darasa la 2 ni tofauti na wa darasa la 6 kwa sababu wa la 2 wanatoka saa 4 na wa la sita wanatoka saa nane mchana,siwezi kukukatalia kwa kigezo kwamba wote wanakuwepo shule saa mbili asubuhi nikakwambia hawa wote ni sawa.
Kama kuna factor unasema sio shida na haina umuhimu --- inabidi uiweke pembeni kabisa.

huwezi itumia kwa kushtukiza
 
Isa hajawahi kuwa Yesu na Yesu hajawahi kuwa Isa
Watu wangu watakuja kuangamia kwa kukosa maarifa!
Hivi unajua hata hii sheria ya kuoa mke mmoja nk alileta Papa Paul na Mwanafunzi mwingine akaja na hoja za kuunga unga za Kumuita Yesu kuwa ni Mungu wakati Yesu mwenyewe hakuwahi kujiita (Siku zote Yesu alikuwa akikesha akimuomba Mungu).
Hivi umewahi kujiuliza; Duniani wanawake ni wengi zaidi ya wanaume kwa takriban 20milioni hivi; kwa Sheria ya Papa Paul hao wataolewa na nani kama sio kutuongezea Single mother na watoto wa mitaani....
 
Hata Mungu mwenyewe hapendi mtu anayemwabudu sababu hana chaguo.
yaani anacheza double chance.
Watoto wangekuwa wanaachwa mpaka wawe wakubwa ungeleta takwimu mwenyewe.

Na pia people switch sides --- hii inaakisi 50/50 mkuu


Japo nakubaliana na hoja yako
 
Surah Al-Baqarah (2:62)

“Hakika wale walioamini na wale Wayahudi na Wakristo na Wasabai — ambaye aliyemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Kiyama na akafanya mema — mwenye thawabu yake iko kwa Molawake. Hakuna hofu kwao, wala hawatatunguika.”

➡️ Inatambua Wakristo kama Watu wa Kitabu waliomwamini Mungu na kufanya mema — na wana thawabu kutoka kwa Mungu.

Surah Al-Ma’idah (5:69)

“Kwa hakika wale walioamini, Wayahudi, Wakristo na Wasabai— yule anayemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akafanya mema — basi hakuna hofu kwawo wala watapata huzuni.”

➡️ Inasisitiza kuwa Wakristo wa kweli hawana sababu ya kuogopa au kuomboleza hali — wana ahadi ya thawabu.

Surah Al-Ma’idah (5:82)

“Hakika utawakuta wale walio karibu zaidi kwa upendo kwa Waumini ni wale walisema: ‘Sisi ni Wakristo.’ Hayo ni kwa sababu miongoni mwao wapo makasisi na wamonaki, wala hawajivuni.”

➡️ Inatambua unyenyekevu wao, ukweli na uungwana — na inaonyesha uwezekano wa mahusiano bora kati ya Wakristo na Waislamu.

Surah As-Saff (61:14)

“Na wanapoaminika kwa Mungu — kama Yesu mwana wa Mariamu alivyosema kwa Mitume wake: ‘Nani atakuwa msaidia wangu kwa ajili ya Mungu?’ Wakasema: ‘Sisi ni wamsaidizi wa Mwenyezi Mungu!’ Basi sehemu iliyoaminika kutoka Bani Israili ikawaamini, nao tukawapa walioamini ushindi…”

➡️ Inaonyesha Wakristo walipoamua kuunga mkono Injili na Imana — walipoamini kwa moyo wote.

Surah Aal-Imran (3:84)

“Sema: ‘Tunaamini Mwenyezi Mungu, na kile kilicho teremshwa kwetu, kile kilicho teremshwa kwa Ibrahimu, Ismail, Is’haaq, Ya’qub na kwa vizazi; na kile kilicho kabidhiwa Musa, Isa na Manabii kutoka kwa Mola wao; hatutofautiani nao; kwa Huyu tumekabidhi.”

➡️ Inaonyesha imani ya pamoja ya Waislamu, Wakristo, na Wayahudi kwenye ujumbe wa Manabii — uthibitisho kuwa dini hizi zilikuwepo kabla ya Uislamu.

Surah Aal-Imran (3:52)

“Alipoamkia hisia kukosekana imani kwa watu, Yesu alisema: ‘Nani atakuwa msaidizi wangu kwa ajili ya Allah?’ Mitume akasema: ‘Sisi ni wamsaidizi wa Mwenyezi Mungu.’ Tukawapa wale walioamini nguvu juu ya maadui wao…”

➡️ Inaonyesha ushirikiano kati ya Yesu (Isa) na wafuasi wake walioamini — hivyo imekuwa msingi wa Ukristo kabla ya Uislamu.
 
Kama kuna factor unasema sio shida na haina umuhimu --- inabidi uiweke pembeni kabisa.

huwezi itumia kwa kushtukiza
sio shida ikiwa tu,msimamo wa wasifu mwingine uliobaki kuhusu mhusika ni sahihi,mfano hao wakristo wanaoamini Yesu sio Mungu wanaamini aikufa na kufufuka??au hawaaamini hilo kama walivyo waislam??
kama wanaamini hivyo maana yake tofauti ile ya mwanzo inazidi kupata uzito kwamba si mtu mmoja anayetajwa hapo.
 
ila waislam wote wanadai sio Mungu.
Quran inasema indirect kuwa Issa ni Mungu.

Na inakiri kuwa kuna Attribute za Allah hivyo majina 99; kwa maana hiyo, utatu mtakatifu pia ni halal!

Quran, haieleweki kwao mpaka wapate tafsiri za wanazuoni wao, na kuna maandiko ambayo Mtume anakili anayeyaelewa ni Allah tu!
 
Quran inasema indirect kuwa Issa ni Mungu.

Na inakiri kuwa kuna Attribute za Allah hivyo majina 99; kwa maana hiyo, utatu mtakatifu pia ni halal!

Quran, haieleweki kwao mpaka wapate tafsiri za wanazuoni wao, na kuna maandiko ambayo Mtume anakili anayeyaelewa ni Allah tu!
Mfano mmoja wapo ni wakati Muhammad anawaeleza kuhusu massih dajal,anayesakamwa ni replica ya Massih ila hiimisho la sifa zinazotolewa ni za Allah.
 
sio shida ikiwa tu,msimamo wa wasifu mwingine uliobaki kuhusu mhusika ni sahihi,mfano hao wakristo wanaoamini Yesu sio Mungu wanaamini aikufa na kufufuka??au hawaaamini hilo kama walivyo waislam??
kama wanaamini hivyo maana yake tofauti ile ya mwanzo inazidi kupata uzito kwamba si mtu mmoja anayetajwa hapo.
Hapana mkuu hapa sasa tunapiga siasa mkuu.

Kama sio factor ni sio factor tu , kama unaanza kuitathmini basi ni factor
 
VITUKUU VYA MUDY,WAPEWA BIKRA 72,MAJINUNI WA BUZA KWA KWA OSAMA,WAFIA DINI WA MABWEPANDE,WAFANYA MIHADHARA KISIJU NA KIMANZICHANA,WALA FUTARI ZA BURE MSIKITI UNATIZAMANA MA CHUO CHA DIT WANASEMAJEEEEEEE😁😁😁
 
1. Yesu na Mungu ni Mmoja

Yohana 10:30

“Mimi na Baba tu umoja.”

(Hii ni kauli ya moja kwa moja ya Yesu kuonyesha kwamba yeye na Mungu Baba ni kitu kimoja.)

2. Aliyemwona Yesu amemwona Baba

Yohana 14:9-10
Yesu akamwambia, “Mimi nimekuwa pamoja nanyi muda wote hivi, nawe hujanijua, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wasemaje, Tuonyeshe Baba? Je! huamini ya kuwa mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu?”

3. Yesu ni Neno la Mungu aliyefanyika mwili

Yohana 1:1-3, 14
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu… Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu…”

(Hapa “Neno” ni Yesu – inaonyesha uungu wake.)

4. Mamlaka ya Mwana ni ya Baba

Mathayo 28:18-19

Yesu akaja akasema nao, akisema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.”

Hii ni mojawapo ya mistari wazi ya Utatu Mtakatifu — inazitaja nafsi zote tatu za Mungu kwa pamoja.

5. Roho Mtakatifu anatoka kwa Baba na hutumwa na Yesu

Yohana 15:26

“Lakini ajapo Msaidizi nitakayempeleka kwenu kutoka kwa Baba, yaani, Roho wa kweli atokaye kwa Baba, huyo atanishuhudia.”

6. Utatu Unaonekana Wakati Yesu Anabatizwa

Mathayo 3:16-17

Naye Yesu alipokwisha kubatizwa, mara alipanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikafunguka, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake; na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, “Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.”

Hapa tunaona Utatu:
  • Yesu anabatizwa,
  • Roho Mtakatifu anashuka,
  • Mungu Baba anazungumza kutoka mbinguni.
Acha c&p mkuu tumia akili Zako kufafanua hilo jambo acha akili za chartgpt ni Ai isio kua na flexibility in reason.
 
Back
Top Bottom