Huwezi kuwa Muislamu kama humpendi Isa (Yesu) au kumdhihaki

Isaya 9 : 6
"Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani".
Bado hawata ona
Kuna watu wamezaliwa ili wakachomwe motoni - unawezaje ukamwamini mbakaji alafu ukamkataa innocent
 
Kwa kweli, huwezi kuwa Muislamu ukiwa huwa umpendi na kumwaamini Malaika wote, Manabii na Mitume wote!

Qur'an (Surat Al-Baqarah 2:285):
“…Wote wanamwamini Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake. Hatubagui kati ya yeyote katika Mitume Wake…”

Uislamu ni dini ya imani kamili kwa mitume wote waliotumwa na Mwenyezi Mungu — akiwemo Yesu (Isa bin Maryam), Musa, Ibrahim, Nuhu na Muhammad (s.a.w) Waislamu Wanaamini Yesu Atarudi Kumpiga Dajjali.

Mtume Paulo ndo akaja akaharibu monotheism Gospel ya yesu akabadili muelekeo na kuunda Imani mpya ya kikuristo.

Surat Al-Ma'idah (5:116).Hii hapa tafsiri yake kwa Kiswahili:

“Na pale Mwenyezi Mungu atakaposema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa miungu badala ya Mwenyezi Mungu?

Atasema: Subhanaka! (Utukufu ni Wako!) Hakuwa haki yangu kusema nisiyokuwa na haki nayo. Kama ningelisema, bila shaka ungalijua. Unajua yaliyo moyoni mwangu, wala mimi siyajui yaliyo moyoni Mwako. Hakika Wewe ndiwe Mjuzi wa mambo ya ghaib.

Aya hii inaonyesha wazi kuwa Yesu (Isa a.s) hakuagiza watu wamuabudu yeye wala mama yake. Badala yake, alifundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee. Aya hii ni hoja muhimu katika msimamo wa Kiislamu dhidi ya imani ya Utatu.
Mkuu unataka tumuamini mzee aliyeoa mtoto wa miaka 6...tafadhali bana.
 
Ushahidi tafadhali mkuu, sitaki porojo hapa no evidence shut-up.
1 .Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe, huku Nabii Isa alizaliwa chini ya mtende

2. Yesu alisulubiwa msalabani, akafa, akafufuka, akapaa mbinguni ila Nabii Isa hakusulubiwa msalabani
 
Hapana Qur’an 4:174 hakusulubiwa wala hakuawa ni mtu mgine salio sulubiwa mkuu.
hii tayari ni scandal,maana yake Allah alidanganya wafuasi wa Issah kwa kuwaonyesha picha isiyo halisi.
na ikiwa Issah hakusulubiwa,anakuwaje ndiye Yesu,Yessua wa bible aliyesulubiwa??
 
Kwa kweli, huwezi kuwa Muislamu ukiwa huwa umpendi na kumwaamini Malaika wote, Manabii na Mitume wote!

Qur'an (Surat Al-Baqarah 2:285):
“…Wote wanamwamini Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake. Hatubagui kati ya yeyote katika Mitume Wake…”

Uislamu ni dini ya imani kamili kwa mitume wote waliotumwa na Mwenyezi Mungu — akiwemo Yesu (Isa bin Maryam), Musa, Ibrahim, Nuhu na Muhammad (s.a.w) Waislamu Wanaamini Yesu Atarudi Kumpiga Dajjali.

Mtume Paulo ndo akaja akaharibu monotheism Gospel ya yesu akabadili muelekeo na kuunda Imani mpya ya kikuristo.

Surat Al-Ma'idah (5:116).Hii hapa tafsiri yake kwa Kiswahili:

“Na pale Mwenyezi Mungu atakaposema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa miungu badala ya Mwenyezi Mungu?

Atasema: Subhanaka! (Utukufu ni Wako!) Hakuwa haki yangu kusema nisiyokuwa na haki nayo. Kama ningelisema, bila shaka ungalijua. Unajua yaliyo moyoni mwangu, wala mimi siyajui yaliyo moyoni Mwako. Hakika Wewe ndiwe Mjuzi wa mambo ya ghaib.

Aya hii inaonyesha wazi kuwa Yesu (Isa a.s) hakuagiza watu wamuabudu yeye wala mama yake. Badala yake, alifundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee. Aya hii ni hoja muhimu katika msimamo wa Kiislamu dhidi ya imani ya Utatu.
Yesu huyu mwenye mafundisho ya kumpenda jirani yako kama nafsi yako hakuna namna atakuwa muislam.
Yesu na Issa kwa mujibu wa maandiko ni watu wawili tofauti.
 
Mkuu Yesu hakuwahi kusema yeye ni Mungu Katika Yohana 17:3, Yesu anasema: “Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.” Hapa Yesu anajitofautisha wazi na Mungu.
Mkuu, kwa mujibu wa Quran takatifu, Issa ni masihi? Ni neno la Allah? Ni mwana wa Maryamu?

Kama ndio, thibitisha kwa quran anaposema kuwa yeye ndiye!
 
Bado hawata ona
Kuna watu wamezaliwa ili wakachomwe motoni - unawezaje ukamwamini mbakaji alafu ukamkataa innocent
Mkuu hizo ni kashifa kubwa isio kua na uashahidi acha hizo rejea kwenye mada mkuu.
 
Yesu huyu mwenye mafundisho ya kumpenda jirani yako kama nafsi yako hakuna namna atakuwa muislam.
Yesu na Issa kwa mujibu wa maandiko ni watu wawili tofauti.
Yesu alikuja kwa jina la upendo...Issa kama ndie aliyemtabiri Mtume kwa mujibu wa Quran, Mtume kapigana vita 83 kumpigania Allah... na Jizya juu!
 
1 .Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe, huku Nabii Isa alizaliwa chini ya mtende

2. Yesu alisulubiwa msalabani, akafa, akafufuka, akapaa mbinguni ila Nabii Isa hakusulubiwa msalabani
Ni tafasiri tofauti ila mtu ni yule yule, wakuristo wengi wamepotosaha mafundisaho na ukweli kuhusu huyu Yesu au Isa kwa malengo ya kiasiasa na kiutawala.
 
Kwa kweli, huwezi kuwa Muislamu ukiwa huwa umpendi na kumwaamini Malaika wote, Manabii na Mitume wote!

Qur'an (Surat Al-Baqarah 2:285):
“…Wote wanamwamini Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake. Hatubagui kati ya yeyote katika Mitume Wake…”

Uislamu ni dini ya imani kamili kwa mitume wote waliotumwa na Mwenyezi Mungu — akiwemo Yesu (Isa bin Maryam), Musa, Ibrahim, Nuhu na Muhammad (s.a.w) Waislamu Wanaamini Yesu Atarudi Kumpiga Dajjali.

Mtume Paulo ndo akaja akaharibu monotheism Gospel ya yesu akabadili muelekeo na kuunda Imani mpya ya kikuristo.

Surat Al-Ma'idah (5:116).Hii hapa tafsiri yake kwa Kiswahili:

“Na pale Mwenyezi Mungu atakaposema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa miungu badala ya Mwenyezi Mungu?

Atasema: Subhanaka! (Utukufu ni Wako!) Hakuwa haki yangu kusema nisiyokuwa na haki nayo. Kama ningelisema, bila shaka ungalijua. Unajua yaliyo moyoni mwangu, wala mimi siyajui yaliyo moyoni Mwako. Hakika Wewe ndiwe Mjuzi wa mambo ya ghaib.

Aya hii inaonyesha wazi kuwa Yesu (Isa a.s) hakuagiza watu wamuabudu yeye wala mama yake. Badala yake, alifundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee. Aya hii ni hoja muhimu katika msimamo wa Kiislamu dhidi ya imani ya Utatu.
Shetani kawadanganya sana, kusema isa ndio Yesu. ni mwongo na dini yenu ya kiuongo sana. characteristics zote za isa bin mariam ni tofauti kabisa na zile za Yesu Kristo wa Nazareth. kuanzia kuzaliwa, kufa, kufufuka, kupaa mbinguni n.k. yule wa kwenu ana vya kwake, na wa kwetu ana vyake. pia, ukitaka kujua kama ni kitu kimoja au la, nenda kesho msikitini kwenu kasema kwa jina la isa bin mariam uone kama pepo hala kichanga tu litakimbia, ila ukisema Kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazarath, au sema Damu ya Yesu Kristo! utaona hadi mashehe wako watakapo dondoka chali. nakupa mtihani huo kabla haujabisha.
 
Mkuu wewe muongo leta tofauti hizo kama unazo ila ushahidi upo Yesu ndo nabii Isa kwa kiarabu kata au kubali....
 
Mama ake Yesu alikuwa na umri gani alipoposwa na Joseph akiwa na Miaka 88????
Mariam mama wa Yesu alikua na miaka 13 wakati anapat ujauzito wa Yesu Joseph alikua na miaka 93 wakati anamuoa Mariamu.....sasa watuambie huo pia ibakaji?
 
Yesu na Issa kwa mujibu wa maandiko ni watu wawili tofauti.
Jagina
JamiiForums-2066617636_111746.jpeg
 
Mariam mama wa Yesu alikua na miaka 13 wakati anapat ujauzito wa Yesu Joseph alikua na miaka 93 wakati anamuoa Mariamu.....sasa watuambie huo pia ibakaji?
Hebu weka ushahidi hapa, ni wapi umesoma ambapo Mariam alikuwa na miaka 13 wakati ana mimba ya kumzaa Yesu
 
Mkuu wewe muongo leta tofauti hizo kama unazo ila ushahidi upo Yesu ndo nabii Isa kwa kiarabu kata au kubali....
Jina Yesu linatokana na jina Yeshua, na nikijibu hoja yako, hata ulete lugha 10 zikaongea tarakimu zinazotofautiana kama ilivyo Yeshua, Jesus, Yesu n.k bado huyo wanayemtaja kwa tarakimu tofauti sio yule Isa bin mariam. why? kwa sababu hata maisha yake ya kuzaliwa, kufa, kufanyika kafara la wanadamu, kufufuka, kupaa mbinguni, na sifa ya Uungu, yanavyoelezewa juu ya hao wawili ni tofauti kabisa kabisa, jambo linaloonyesha sio mmoja.

1. waisla mhawasemi Isa bin mariam ni Mungu, kwa hiyo huyo wanayemrefer sio yule Yesu ambaye sisi tunasema ni Mungu.

2. waislam hawaamini kama isa bin mariam alikufa msalabani, wakati wakristo tunaamini kuwa Yesu Kristo alikufa msalabani.

3. waislam hawaamini kama Yesu Kristo alimwaga Damu yake kuwa ondoleo la dhambi, meaning, huyo wanayemwita isa bin mariam sio huyo ambaye sisi tunaamini alimwaga Damu kwa ondoleo la dhambi na ukombozi wetu.

4. Mohamad aliyeleta kuran alizaliwa miaka 600 baaada ya Yesu na mitume, jambo ambalo ni wazi hana moral authority kutufanya tuamini anachokisema kuhusu Yesu Kristo. huyo wanayemwita isa bin mariam shetani alitunga hilo jina ili kuwapoteza wanadamu ramani wasimwamini Yesu Kristo wapoteze muda kutaja isa bin mariam.

5. nimeshuhudia kwa macho yangu na ndiyo maisha ninayoyaishi, kwamba Jina la Yesu Kristo lina Nguvu ya ajabu, uwe umetaja Yeshua, Jesus, Yesu n.k as long as unayemmaanisha rohoni ndio yule yule, Magonjwa yanapona, mashetani yanakimbia, miujiza ile ile iliyofanywa na mitume inatokea. ila sijawahi kuona muujiza hata wa kufukuza mende tu umetokea jina la isa bin mariam likitajwa.

katika mazingira kama hayo, unafikiri ukweli ni upi sasa?
 
Back
Top Bottom