Huwezi lazimisha Mwanamke akuheshimu, Mwanamke anamheshimu mwanaume anayempenda

Kaka mtibeli napenda sana uwe unashusha nondo zinazohusiana na mahusiano hususan ya kindoa maana sisi wengne tunapitia meng sana kwa wenza wetu ,tunataman utupe mbinu za kutuwezesha kumudu maisha na harakat zote za kimahusiano
 
Mwanamke hawezi mpa heshima mwanaume asiye na pesa.
90/% ya ndoa zimeshikwa na pesa filisika au staafu ndo utajua ukweli
 
Kaka mtibeli napenda sana uwe unashusha nondo zinazohusiana na mahusiano hususan ya kindoa maana sisi wengne tunapitia meng sana kwa wenza wetu ,tunataman utupe mbinu za kutuwezesha kumudu maisha na harakat zote za kimahusiano
Tuombe uzima
 
Hapa nakuunga mkono ila kwenye ile mada ya kumruhusu mwanamke aende semina ya wiki3 kisa yuko kazini hapana siwezi kuunga mkono!
Ahahahahah.. mkuu unataka kusemaje, mi wife yuko marking week ya pili sasa 😂😂😂😂.
Nihesabu maumivu eti!.
Aaah bwana ee wamtombe tuu haina shida 😅
 
Tatizo unashindwa kutofautisha kumpiga kama ngoma na kakofi kamoja ka kuonyesha umechoka kuongea
Kun wanawake ukisema uongee nao hawaelewi wanaonyesha jeuri za waziwazi
Hata umkanye haelewi
Mwanamke anakutukana unamvumila anakukejeli unamvumila anakudharau unamvumila anasema anajuta kuolewa na wew unamvumila anakufananisha na wanaume wengine unamvumilia
Anakutukana tena umvumilie

(UTAKUFA KABLA YA SIKU ZAKO KWA MAUDHI)
kakofi hata kamoja tu (paaaaa)😁
Akiondoka itakuwa bora mzigo umepungua
Akibaki manake kumbe anakupenda bado
 
Wanawake huheshimu fedha
 
Heshima ya mwanaume ni pesa na kuhudumia familia ipasavyo.....amkaze mkewe vizuri na ampe pesa ampe pesa halafu tuone tundu linatokea wapi...
 
Duuuh maisha ya mtoto wa kiume ni ya shida sana toka anazaliwa adi kufa kwake
 
sio kweli,sisi huwa tunanzisha mahusiano mapya ila yule wa zaman hasahauliki kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…