Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
ujuzi nishabeba,, bado uyo mwanaume wa kumpenda na kumheshimu😄
Pamoja sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujuzi nishabeba,, bado uyo mwanaume wa kumpenda na kumheshimu😄
Uko sahihi mkuu. Mwanamke anayekupenda ni mtoaji sana. Mafundisho yako yameniokoa kwenye shimo la hatari.
Ukielewa anachosema Taikon, hutakuja chukia wanawake ila utafanya uchaguzi kumpata mwanamke sahihi kwako.
Pumba kama pumba nyingine! Heshima huwa inatafutwa ukiwa na pesa utaheshimiwa na kuogopwa na kila mtu.
Umenena la maana sana mkuu.Hili lizingatiwe na wanaume wote
Ko na wanaume wanaosaliti pia una maana kuwa wanakuwa hawana upendo kwa wake zao au hiyo inakuwa applied kwa wanawake tu?
"Mwanamke lazima aweze kuihudumia familia yake"
Hata kama akiweza bado nafasi yako kama mwanaume itabaki palepale, vinginevyo atakuja mwingine aihudumie familia yake kama utakavyo na ndio kitakuwa chanzo chake cha kiburi, ajabu unataka kuheshimiwa huku ukiwa na mchango sawa na mwanamke...
Hiyo nyumba yako itakuwa na vichwa viwili vya familia, na huo ndio utakuwa mwanzo wa matatizo mbele ya safari.
Ukisoma maandiko mwanamke alazimishwi kukuheshimu mwanamke anatakiwa amtiii mwanamke...na mwanamume ampendee mwanamke
Ov
Mwanamke anaweza akakupenda mwanangu na akashindwa kukupa hela simply kwa sababu hana. Unakuta kipato chake ni kidogo sana, sasa atakupa nini ndugu yangu..? Lakini sio kwamba hakupendi ni basi tu hana. Same thing inaweza tokea kwa mwanaume kama hana cha kukupa. Hakupi kwa sababu hana sio kwa sababu hakupendi.
Kuna kitu kikubwaa nimejifunzaa hapaaa...kongole mtoa mada🙏Mwanamke anapenda kama ilivyo mwanaume. Tena anapenda zaidi ya mwanaume ndio maana huwa mtiifu.
Huwezi kumtii mtu usiyempenda.
Pesa haibadili moyo wa mtu akiwepo hiyo Mwanamke.
Pesa inampa uhuru mtu wa kuonyesha hulka yake halisi.
Mwanamke kama alikuwa hakupendi akiwa na pesa ndio wakati wa kuonyesha kile ambacho ulikuwa hukioni.
Pia elewa, hata ukizeeka au ukiishiwa au kufilisika ndio wakati ambao Mwanamke atakuwa huru kuonyesha yaliyomoyoni mwake. Kama alikuwa hakupendi ndio utajua lakini kuna kulipa kisasi.
Hata wanaume sisi tulipata hizo pesa mbona wengi tunaanzisha mahusiano mengine na kuwa na MICHEPUKO au kuoa kabisa wanawake wengine?
Sio kwamba pesa ndio zimetubadilisha, ila pesa zimetupa uhuru wa kujionyesha dhahiri sisi ni watu wa aina gani.
Mwanamke anapenda. Sema wengi hawapati bahari ya kuolewa na wanaume wanaowapenda ndio maana unasema ulichokisema
Ufafanuzi kidogo hapaa...Mwanamke anayekupenda hawezi kukuambia anakupenda.
Kuna kitu kikubwaa nimejifunzaa ha
Kuna kitu kikubwaa nimejifunzaa hapaaa...kongole mtoa mada🙏
Ufafanuzi kidogo hapaa...
Leo ndiyo umeongea points kwengine uwa tunapishana.
Bandiko zuri sana hili big up mkuu.
Nipo napiga punyeto kwa profile pic yako# ROCA FELLA
MWANAMKE AMEUMBWA NA MADHAIFU MENGI KULIKO MWANAUME INGAWAJE WANA WA ADAMU WOTE TUNA MADHAIFU YETU, MWANDISHI AMEELEZA NA KUFAFANUA MADA KAMA IPASAVYO PONGEZI KWAKE.
USHAURI ZAIDI, KWA SASA DUNIA INAZIDI KWENDA KASI KILA KITU KINABADILIKA HASA UPANDE WA MAPENZI IMEKUWA NI MWIBA KWA WAPENZI NA WANA NDOA WENGI WANAPITIA CHANGAMOTO NYINGI LAKINI MSICHOKE KUMWOMBA MOLA MLEZI YEYE NI MLEZI WA WOTE KILA MWENYE KUHITAJI HURUMA YAKE.
Aiseee naendeleaa kujifunzaaMara nyingi Watu wenye upendo uliopitiliza( upendo wa dhati) huonyesha matendo zaidi kuliko maneno. Sio tuu kwa wanawake hata kwa sisi wanaume.
Hata sisi wanaume tunapokutana na chuma kilichouteka moyo hatunaga maneno mengi zaidi matendo ndio yatajidhirísha. Kumwambia mtu unayempenda nakupenda ni kazi kuliko kumwambia mtu usiyempenda kuwa unampenda.
Aiseee naendeleaa kujifunzaa
Basi ibaki kuwa kama sinia la chakula kila mtu atamega panapomfaa na kila mtu atabahatika kupata mnofu kwa wakati wake tu, itoshe kusema barikiwa mkuu tupo pamoja 🙏Kuna makumi kwa mamia leo ndio wanaona sijaongeà pointi ila siku hizo nilizopishana na wéwe ndio niliongea pointi😀