FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #61
Shuka uhusiano wa sarufi ya kiswahili na asilimia ya maneno kiarabu ya kiswahili yaliyokwisha fanyiwa tafiti sio kelele za misamiati 50...nmekuuliza tu mazingira ya mkazo na coda...jibu kwanza hili....tumia sarufi kunisahwishi na sio misamiati nichache..ata misamiati ya kilatini ipo kwenye kiingereza ila wanasarufi sjawai kuwaskia wakiongelea ufasaha unaouzungumzia... naomba kama huna Hoja za kisarufi rudi shule...
Nnakushangaa sana unapokazaniaa nijibu swali lako nililokwisha kulijibu. Nimekwambia Kiarabu haukijuwi. Na nikakupa na mifano kinavyotumika katika kukifanya Kiswahili kiwe na ufasaha na kuleta utamu wa lugha.
Au jibu hukulipenda na au hukulitarajia ndiyo unaona sijalijibu? Fikiri.
Sasa wewe jibu swali langu moja tu, lililopo kwenye post namba moja sentensi ya mwisho kabisa. Mbona unalikwepa? au limekuwa gumu kwako?