Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart baada ya kuachwa, tumia hata Buguruni Sweetheart – RC Makonda

Kabisaaaaa
 
Yaani nimeona aibu Mimi...Magufuli akubali akatae amefeli mnooo kwa makonda!!!
 
Duuuuuuhh kuna mambo ya kutuachia wadada sio kila jambo la kuvamia [emoji17][emoji17][emoji17]
Yaani nimeshangaaa mnooo!!!hivi daahh!nimejiskia vibaya sana

Yaani huyu baba kweli hajasoma huyu na upeo wake ni finyuuu!!
 
Alikua na mengi ya kuongelea badala ya kelele za insta [emoji35][emoji35][emoji35]
Sana tena mnoooo!!ule ujinga aliongea pale kwa kweli[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]!!!
 
We have a long way to go. Huyu ndo mkuu wa mkoa anaongea upuuzi tu. Mwenyezi Mungu tulikukosea nini sisi watanzania kama hawa ndo viongozi wetu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunguli zimenibamba eee, mobetto
 
Sana tena mnoooo!!ule ujinga aliongea pale kwa kweli[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…