Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Ishu sio jina ishu makonda status yake anaongea upuuziHili jina anatakiw apewe mwanamke anae inspire wengine kwa kiasi kikubwa kama klyn Mengi, faraja nyarandu, Doris mollel ila Hawa wazee was kudanga ndo wanaligombania