Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart baada ya kuachwa, tumia hata Buguruni Sweetheart – RC Makonda

Hehehe
Hili akili halina, haliwezi kuji-behave kama mwanaume tena kiongozi na majukwaa ya kike sijui linatafta nini, tuseme ndo linataka kwenda basi ongea kama kiongozi napo hawezi.

Tulikosea sana 2015 kuwachagua wasukuma maana wanaendelea kudhihilisha ulimbukeni wao.

sasa kuna kibushuti mmoja hapo juu kanitolea povu,...tatzo waweza bishana na vitoto havielewi ht "eskisi" za uongozi!naumia sana kulidhalilisha kabila langu😡😡😡😡😡!its true hayo majukwaa yana watu wao...kwakweli wana moyo!
 
Dsm yake kivipi we mshamba pori?
PAUL MAKONDA MWENYE DAR ES SALAAM YAKE.
anyway nje ya ukuu wa mkoa nae ni mwanadamu ana hisia zake pia katika maisha ya kawaida.Tusiwe tunahukumu kila jambo bila sababu
 
sasa kuna kibushuti mmoja hapo juu kanitolea povu,...tatzo waweza bishana na vitoto havielewi ht "eskisi" za uongozi!naumia sana kulidhalilisha kabila langu😡😡😡😡😡!its true hayo majukwaa yana watu wao...kwakweli wana moyo!

Daah very sorry kama nawe ni msukuma mkuu!

Ila huyu ndugu yenu akili hana. Hao wanaokushambulia usihangaike nao ndo wale wenye ma-team huko mitandaoni, wasikupe shida kabisa!
 
Nimeona aibu ujue daah!ila yote hii kwa kua ana chuki na mange na mange anaside na hamisa ndo maana yaani huyu baba aisehhh!!

Kwa kweli ni aibu aibu aibu uu!!!nimeamini rasmi huyu kaka vyeti sio vyake
 
PAUL MAKONDA MWENYE DAR ES SALAAM YAKE.
anyway nje ya ukuu wa mkoa nae ni mwanadamu ana hisia zake pia katika maisha ya kawaida.Tusiwe tunahukumu kila jambo bila sababu
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]daah
 
Daah very sorry kama nawe ni msukuma mkuu!

Ila huyu ndugu yenu akili hana. Hao wanaokushambulia usihangaike nao ndo wale wenye ma-team huko mitandaoni, wasikupe shida kabisa!

acha tu tutukanwe!km viongozi wenyewe ndo mmetuchaglia hawa!au haka aukanda kamepata laana ya ghafla???
tukmwangalia kangi naye si wa hukohuko?hawa wana laana!ptu
 
Duuuuuuhh kuna mambo ya kutuachia wadada sio kila jambo la kuvamia [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Nimeona aibu ujue daah!ila yote hii kwa kua ana chuki na mange na mange anaside na hamisa ndo maana yaani huyu baba aisehhh!!

Kwa kweli ni aibu aibu aibu uu!!!nimeamini rasmi huyu kaka vyeti sio vyake

sasa anataka ashindane na mange! hahahha ndo wanaume hawa sasa
 
mm leo ndo nnaaamin ana vichembechembe huyu..hizo teams waachiwe vijana..tena wasio na ajira wachambane weee!llakn dume zima kushadadia upupu jamani!..mm ndo nasikia kwako kumbe hamisa ndo sweetheart wa tz!🙂🙂 hongera zake
Alichofanya huyu baba ni kujidhalilisha na kumdhalilisha aliyempa nafasi ile..[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]

Hivi kwa kua ana chuki na Mange ndo anafanya hivi wasukuma ni watu wa visasi mnoo sijui yakoje
 
😡😡😡 kakera sana
 
Kwan ukiwa tz sweatest unakunya mwezi? Au kuna kamishen ya jina? Maana siwaelew hawa. Halafu yote n mabitch tu hakuna wa maaaana. Ila hii IPO tz peke
Ishu ni status yake kama mkuu wa mkoa daahh!!!shame on himi
 
Back
Top Bottom