Huwezi nishawishi Nyerere alikuwa Rais bora

Vyote unavyoviona ni vibaya ni kwa sababu unavitazama katika mtazamo wa 2024, yeye Mwalimu na wasaidizi wake waliitazama dunia ya mwaka 1980 kurudi nyuma.

Tangu ameaga dunia ni miaka 25 robo karne, sisi tulioachwa duniani tumefanya nini kuubadili huo ubaya ili uwe ni uzuri?.
 
Vijana wenye hofu ni wale wa zamani, sio hawa watoto wa 2000.

Vijana wa sasa wanatembea na dunia nzima viganjani mwao kwa kutumia simu za kupangusa hawana sababu yoyote ya kuhofia chochote.
Hapana aisee, hawa wa sasa ndio wa hovyo na waoga kupita, aheri ya hao wa zamani

Hizo simu kutwa ni kuangalia ngono na kubeti na umbea umbea tu
 
Nyerere alikuwa mdini kuliko kiongozi yeyote tangu uhuru, ndio maana alihubiri sana udini. Ukitaka kuamini, angalia leo hii Watanzania wamebeba sana udini kuliko mataifa mengine yote.
 
Unaujuaji mwingi acha tukuache maana wewe unajua kilakitu
 
Utaamini vipi km alikuwa bora wakati wewe umeanza kuijua Tanganyika enzi za jiwe.
 
ulikuepo kipindi cha Tanganyika??? ubora wake unaanzia hapo sasa, alafu mtu kama wewe huwezi kuona ubora wake maana umesimuliwa mengi ya nyerere kuliko kuyaona
 
Labda wewe ndio msukule!
 
Nchi hii ina watu million 60, sio muhimu kukushawishi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…