Huwezi Pinga Kuwa Dini (madhehebu yote) yamegeuka kuwa biashara zinangonya waumini. Kama una hoja utasikilizwa na kujibiwa

Sahihi 100% Nami ndo kitu nafanya Kwa muda Sasa
Tatizo watu wanaenda kanisani ili waonekane na wanatoa sadaka ili waonekane tu. Biblia inasema sadaka yako hata mkono wa kushoto usijue, cha ajabu zimewekwa bahasha zina majina kabisa yaan anayekuja kuhesabu anajua kabisa fulani leo katoa buku, huyu katoa laki
 
Ajabu sana tukisema Kwa uwazi wanaona sisi hatufai
 
Mkuu ulisema sadaka ni Siri na kubaliana nawewe lakini vipi michango inayopangwa kabisa kwamba Kila mtu na gori lake?

Sadaka ni hiari na jua lakini michango wanakwambia ni lazima Ili kazi ya Mungu iende!
Bold kubwa sijakuelewa au unamaanisha kila muumini anatakiwa kwa lazima atoe kiasi fulani?kwanini lazima?hata kama anaonekana anazo ndiyo anazo lakini siyo za kutoa sadaka na hapa ndipo shida ya sisi waumini inapoanzia,ikipangwa 50K nikatoa 20K hakuna wa kuniuliza zaidi ya Mungu huo ndiyo ulikuwa uwezo wangu awamu hii sasa shida hapa utajikaza kutoa uumie uonekane na wewe umo kumbe unaumia.

Yes ni lazima but toa kwa uwezo wako,huyu akitoa 1mill yule akatoa 500K hao wanazo wewe hata kama una hiyo 1mill toa uliyojisikia kutoa kama ni 50K au 100K au kwa utashi wako ukiona una kazi sana na hela usitoe kabisa alimradi usimfuate fulani bwana mbona unatoa zote hizo,kila mtu na imani yake na namna anavyoongea na Mungu wake.
 
1 :Naamini
2:blah blah Huwa nyingi sana nikiuliza swali hili. Sina jibu
3:Kwa sababu kwenye biblia hakimo Huwa nasoma kama vitabu vya ziada tu.
 
Hii ipo Kwa wasabato sijui madhehebu mengine tofauti na rc bahasha hamna Kwa ajiri ya sadaka.
 
Haya unayaongea hapa jf kwanini usisimame mimbaraani kuwaambia watu? Nilichokiandika ndivyo ilivyo siku nyingi na Sasa imefikia wale wasitoa bila kujali uchumi wao wanaonekana kama sio Wacha Mungu .
 
Haya unayaongea hapa jf kwanini usisimame mimbaraani kuwaambia watu? Nilichokiandika ndivyo ilivyo siku nyingi na Sasa imefikia wale wasitoa bila kujali uchumi wao wanaonekana kama sio Wacha Mungu
 
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza waislamu wa hapa jukwaani kwa kutotoa comments zenye kejeli au kashfa kwa ndugu zao kwenye hii thread!
 
Haya unayaongea hapa jf kwanini usisimame mimbaraani kuwaambia watu? Nilichokiandika ndivyo ilivyo siku nyingi na Sasa imefikia wale wasitoa bila kujali uchumi wao wanaonekana kama sio Wacha Mungu .
Haihitajiki semina kuwafundisha watu wazima namna ya kutoa sadaka labda tuelekezane tu namna ya kufanya sadaka zetu zijibiwe.

Mkuu iko hivi,yeyote anayetoa sadaka akilalamika kwanini atoe huyo hajui kwanini anatoa,sadaka toa ukiwa relaxed na toa kile unaweza ukijua kweli huu ndiyo uwezo wangu kwa leo toa hata Tsh 100 kama nafsi yako inajiambia kwamba hii ndiyo Mungu amekupa huku mfukoni ukibaki na Tsh 300,000/= bora amani iwepo,imani yangu wote hili tunalijua kama ni Mkatoliki.
 
Huu ndio utowaji unavyopaswa kutolewa yaani Kwa moyo wa kupenda.

Mkuu Mimi nilichoandika kuwa Mimi kipindi najitambua miaka hiyo tulikuwa tunasali darasa Moja hivi hapo kijijini badae tukajenga wenyewe Kwa Hela yetu wenyewe nakumbuka hata kiwanja tulinunua Kwa 35k tu kama heka3-4 Hivi. Tukafanya kama nilivyo elezea hapo juu Hadi kuezeka nk. Hakuna Hela ilitoka parokiani Wala jimboni.

Hata ubatizo watu walikuwa wanaenda Sub parish nyingine jirani ama parokiani kubatizwa. Mimi nimebatizwa 1995. Hatukuwahi letewa misaa Hadi tulipojenga kanisa la kueleweka.

Nimefurahi sana kuona umesukumwa kujitoa mkuu. Sio kwamba nasi hatufanyj tunafanya ila Kuna mambo yanatuuzi na lazima tuseme hapa hapa.

Mwaka 2009 hadi2013 nikiwa kijijini Kila Misa nilkuwa natoa kuku wa kula Kwa ajiri ya padri Bure kabisa niwepo ama nisiwepo mama nilikuwa nimempa maagizo Bahati nzuri alikuwa mwenyekiti wa jumuiya na mkuu wa kina mama (WANAWAKE WAKATORIKI TANZANIA "WAWATA")
 
Mkuu iko hivi,yeyote anayetoa sadaka akilalamika kwanini atoe huyo hajui kwanini anatoa,sadaka toa ukiwa relaxed na toa kile unaweza ukijua kweli huu ndiyo uwezo wangu kwa leo toa hata Tsh 100
Sijalalamikia sadaka. Mimi nilicho lalamikia hapa ni michango na hii nitaisema siku zote popote.

Kwa Sasa nishabidiri namna ya utoaji nawapa wahitaji Moja Kwa Moja hata nikiwa na jambo langu nafunga then naenda kutoa sadaka Kwa wahitaji direct
 
Sijakuuliza dini yako wala unavyojisikia mtu akibadilika nilichokazia mimi ni mpumbavu tu kiimani ataikana imani yake eti kwa sababu ya kitu mchango kitu ambacho ni hiyari kutoa au kutotoa.
Huyo aliyesilimu naona tayar mda mrefu alikuwa na mipango ya kuslim tu na hiyo michango kama imeharakisha huo uamuzi ufanyike mapema

Mtu mwenye imani yake thabiti hawezi hama dini kwasababu ya michango abadani

Mfano mimi leo eti nitoke katika imani ya kumwamini Mungu Mmoja kwasababu ya michango haitotokea abadani
 
Kwenye dini ilipaswa iwe tofauti maana wao wanatuhubiria mambo ya mbinguni siyo ya duniani hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…