Huwezi ukamdharau na kumtweza Manara halafu uendelee kushinda

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Hersi alimleta Haji Manara ndani ya Yanga kwa ahadi ya kumheshimu na abadani hatomkosea adabu.

Ajabu, Hersi ghafla akanogewa na vitoto vilivyoletwa mjini na Manara na mbaya zaidi akaviruhusu vimtweze.

Hakika Hersi atambue hawezi tena kupata maendeleo kwa namna alivyomtenda Haji!

Haji ni mtu wa ngekewa ya ushindi na kumfanya awe na sononeko ni kuruhusu laana ikuandame.

Ni upumbavu wa haja eti umtweze Manara na umkumbatie mjinga Ali Kamwe.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
 
Eeeh makolo!! Mchukueni basi maana yanawatoka kweli.
 
Huyo mume wenu tumemchoka kutwa kumtaja taja. Hebu mchukueni mtupumzishe na hizo kelele
 
Mambo ya laana ni ya kufikirika
 
Vijana wa Manara TV mna shida sana, mkishatumwa tu ninyi hata kufikiria huwa hamfikirii
 
Manara anacheza namba ipi uwanjani?

Kwahiyo Manara akipewa nafasi ya usemaji Pamba Fc Pamba itachukua ubingwa kisa Manara ana ngekewa ya ushindi?

Aise watu kama nyinyi ndiyo mnafanya hata nchi idumae kukua kiuchumi.
 
Aaah, ndugu yangu Manara ni kwanini uandike haya humu !!? Ungemfuata Injinia Hersi ukamueleza dukuduku lako la moyoni. Haya uliyoyaandika hayana uhalisia kwasisi tusioamini huo ujinga kuwa ukiwa karibu na fulani utapata ngekewa. NI MAWAZO YA KIMASIKINI NA UVIVU WA FIKRA.
 
Yanga kwa yanga wanatifuana so acha watifuane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…