Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Hersi alimleta Haji Manara ndani ya Yanga kwa ahadi ya kumheshimu na abadani hatomkosea adabu.
Ajabu, Hersi ghafla akanogewa na vitoto vilivyoletwa mjini na Manara na mbaya zaidi akaviruhusu vimtweze.
Hakika Hersi atambue hawezi tena kupata maendeleo kwa namna alivyomtenda Haji!
Haji ni mtu wa ngekewa ya ushindi na kumfanya awe na sononeko ni kuruhusu laana ikuandame.
Ni upumbavu wa haja eti umtweze Manara na umkumbatie mjinga Ali Kamwe.