Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mimi nimeimba sana huo wimbo mkuu.
Mashabiki wa mpira Tanzania ni wapumbavu Viongozi wa mpira ni Wajinga
Sio mpira tu, vitu vingi Tanzania vinaenda kijuha juha, kuanzia elimu, ajira, serikali, mahakama , bunge, polisi, maji, umeme, barabara, kodi , ukiwa na akili timamu huwezi kuelewa yanayoendeleaHaijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili.
Naona tu hata humu JF wengi walishaamua kuacha akili nje wakaingia ndani ya hizi team kinyume nyume wameinama na kushika kichwa. Na wengine pia huchimba shimo ardhini ba kuingiza kichwa kukuficha huku wamepiga magoti. Ndo hizi teams zilivyo.
Ni wendewazimu sana kuwa mshabiki wake.
Hahahahaha,ndio maana wajanja wanapiga hela tuMimi nimeimba sana huo wimbo mkuu.
Mashabiki wa mpira Tanzania ni wapumbavu Viongozi wa mpira ni Wajinga
Sawa sawaIpo siku tutaacha kushabikia ujinga wa mpira...wasanii...ccm...viongozi wapumbavu... na ndipo Tanzania mpya itazaliwa
Hahahahaha,usiwashtue waache hivyo hivyoInasikitisha sana. Mijitu mingi mishabiki ya hii timu ni mipumbavu . Wenzao wanakula pesa kupitia upumbavu wao.
Na nyie ndo mmekuwa trapped humo maana akili mnakuwa hamtumiii kabisa.Tupo tu kutafuta refreshment tu
Ila na Mimi nitajitahidi kujitoa kwenye haya maushabiki
CCM wamefAnikiwa kututupa kwenye huu upumbavu
Nakubali MkuuNa nyie ndo mmekuwa trapped humo maana akili mnakuwa hamtumiii kabisa.
Ipo siku tutaacha kushabikia ujinga wa mpira...wasanii...ccm...viongozi wapumbavu... na ndipo Tanzania mpya itazaliwa
Nani hajachanganyikiwa humu? Wote tu tunafanana we sema kuna wale kuchanganyikiwa kwao ni kwa kujifanya wana akili mno.Haijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili.
Naona tu hata humu JF wengi walishaamua kuacha akili nje wakaingia ndani ya hizi team kinyume nyume wameinama na kushika kichwa. Na wengine pia huchimba shimo ardhini ba kuingiza kichwa kukuficha huku wamepiga magoti. Ndo hizi teams zilivyo.
Ni wendewazimu sana kuwa mshabiki wake.