Huyo De Gea ni jini!

De gea. ni mtamu kuliko wote kwakua yeye Difence yake ni mbovu kuliko ao unao sema wanamzidi. Matokeo ya man u anayatafuta kwa uwezo wake mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa takwimu rasmi kutoka vyanzo mbalimbali ni kwamba save per goal ratio ya Oblak ni kubwa kuliko ya De gea

De gea anayo save per goal ya 4.0 ilihali Jan Oblak ana save per goal ya 5 ikimaanisha katika mashuti 10 on target anafungwa magoli 2 tu ilihali degea mashuti 8 pekee anafungwa magoli 2 ikimaanisha nini??

Unahitaji mashuti mengi zaidi kumfunga Jan Oblak kuliko kumfunga De Gea
 
Huo uwezo wake si wakawaida-haiwezekani!

Kipa gani yupo makini kupitiliza namna hiyo!?Mm kuanzia leo nawasiliana na babu kule kijijini tulijadili suala la uwezo wa kupitiliza wa huyo mtu!

Ni hatari!
lazima atakuwa ni FREEMASON...
 
De gea. ni mtamu kuliko wote kwakua yeye Difence yake ni mbovu kuliko ao unao sema wanamzidi. Matokeo ya man u anayatafuta kwa uwezo wake mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeweka takwimu ni vizuri na washabiki wa man u mje na takwimu kuliko maneno ya kutiana moyo..... Nimeweka takwimu hapo kuwa save percentage ya Oblak ni kubwa kuliko De Gea sasa unasemaje tena kuwa ana defense mbovu ilihali ratio inaangalia magoli uliofungwa vs shots on target

Hyo takwimu haiangalii defense kabisa bali purely performance ya kipa akipigiwa mashuti ya on target

Tukubali tu De Gea bado sana kwa Oblak
 
Mkuu shida mnaongozwa na ushabiki wa Man U badala ya uhalisia.... Mie nimeweka takwimu hapo sasa kwanini msjikite kwenye takwimu kuliko mahaba

Shot per goal ratio De Gea kazidiwa na Jan Oblak sasa hapo unasemaje de gea ni mzuri kuliko Jan Oblak.... Ni vizuri tuwe tunafuatilia ligi zote kuliko kuangalia tu EPL alafu tunadhani ndio mpira unaishia hapo hapo
 
wanacheza Ligi ya mbuz hao muulize kocha wa Man City anavyoumbuka
 
Mnasifia De gea ila mkae mijua beki hamna,siku akiumia De Gea mtapata tabu sana bado mnahumhitaji Kolibaly.
 
Mfano jana Totenharm kipindi cha pili kwa presha waliyokuwa nayo wangeweza kufunga magoli mawili au matatu golikipa yoyote yule ambaye haitwi De gea
Hahaha, huyu bi gea si alifungwa goli tatu ndani ya dk 10?
 
Huyo jamaa zwa zwa sana mkuu ! [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaamini kwamba Jan akija MUFC anaweza kumtuliza bench De Gea?

Unajua haya mambo ya takwimu ukiacha assists na magoli huwa nayapuuziaga sana.

Ni sawa na zile hadithi za Jorginho kupiga pasi 300 peke yake kumbe pasi 100 kati ya hizo ni zile za kumrudishia Kepa mpira na zilizobaki ni zile za kugongeana na Luiz.

Angalia pia na uhalisia, ni mwaka wa sita au saba sasa beki za MUFC hazieleweki ambao hawa ndio wa kumpa DDG ulinzi asifikiwe na mpira.

Tumpe DDG sifa zake,hautopungukiwa na kitu!
 
Mchukue kipa wa timu nyingine mchezeshe na defence ya man u tuone atafungwa mangapi.

Degea kinacho muua ni defence.. inavuja sana. Degea akikaa na ukuta kama wa man city au liverpool. Angekuwa na cleanshit za kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…