redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
De gea. ni mtamu kuliko wote kwakua yeye Difence yake ni mbovu kuliko ao unao sema wanamzidi. Matokeo ya man u anayatafuta kwa uwezo wake mwenyewe.Wewe ndio ushabiki kwani De Gea ameanza kudaka wakati wa mourinho?? Shida JF ya siku hizi imevamiwa watu hawana uelewa wa mambo alafu wanataka kuwa wachambuzi
De Gea toka amekuja kacheza mechi 259 na ameshafungwa magoli 256 ikimaanisha kwa average anafungwa kwenye kila mechi na ameokoa penalty 2 tu maisha yake yote man U??
Sasa tuje kwa Oblak.... Kacheza mechi 170 na amefungwa kwenye mechi 70 pekee ikimaanisha hajafungwa mechi 100 sasa unasemaje De Gea ni best in the world??
Njooni na takwimu sio ushabiki..... Huyo De Gea anabebwa na media tu ila kuna makipa hawafikii mfano Ter stegen, De Gea, Handanovic,Donarumma n.k ila kwakuwa mnaongozwa na mahaba basi mnamuona ndio the best.
Sent using Jamii Forums mobile app