Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

Huyu jamaa nilisikia ana mambo ya 'pwani'
 
N:B.

Iwe ni Fundisho kwa sisi vijana wenye umri wa kuanza kutafuta WENZIO WA Maisha.

Ili kumpata Mwenza sahihi WA Maisha.
Jambo la Muhimu ni kumtanguliza zaidi Mungu mbele.

Kila jambo TUNALO lifanya lifanyike kwa utukufu WA Mungu
 
Huyu kijana ni mjinga sana.

Haelewi hata nini cha kuongea kama kijana wa Kiislam.

Waislam hatutakiwi kuwa na "wapenzi" nje ya ndoa.

Unaruhusiwa kuwa na mchumba tu, tena mnayekutana na kuongea mbele ya maharim wake.

Nje ya hivyo ni kinyume na Uislam.
 
Mwanamke anayekukimbia kwenye matatizo huyo sio wa kuoa... mimi ukiniuliza mwanamke na mama mzazi, mara mia mama mzazi maana nikiwa kapuku mama mzazi ndio awezi kuniacha...

Huyo hakuwa mke sahihi... Shida ni kipimo tosha cha kumjua mwanamke sahihi
 
Huyo dada alipishana na gari la mshahara
 
Lakini si kasema alikuwa ni mchumba tu
 
Huyu angemuoa ilikuwa sisi wazee wa KATAA NDOA tumepata point 3 za wazi kabisa.. bahati yake alichelewa.
 
Mtoto wa Kiume unalalamika kukimbiwa na mpenzi tena kwenye sosho midia,,,ndio maana alikimbiwa Binti aliona mbali Sana Kwa Mtoto wa kiume wa namna hii!!
 
Huyu kijana ni mjinga sana. Haelewi hata nini cha kuongea kama kijana wa Kiislam. Waislam hatutakiwi kuwa na "wapenzi" nje ya ndoa. Unaruhusiwa kuwa na mchumba tu, tena mnayekutana na kuongea mbele ya maharim wake. Nje ya hivyo ni kinyume na Uislam.
Nje ya Mada, Hivi waisilamu mnaruhusiwa kuimba nyimbo kama afanyavyo Diamond na Kiba, na pia kwa mashabiki kufuatilia nyimbo zao? Maana niliona kuna kipindi baadhi ya masheikh walimshikia bango Mzee Yusuf, ila sijaona kwa akina Diamond
 
Mwanamke anayekukimbia kwenye matatizo huyo sio wa kuoa... mimi ukiniuliza mwanamke na mama mzazi, mara mia mama mzazi maana nikiwa kapuku mama mzazi ndio awezi kuniacha...

Huyo hakuwa mke sahihi... Shida ni kipimo tosha cha kumjua mwanamke sahihi
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa huyo binti kumkimbia kutokana na hayo matatizo.

Inawezekana binti aligundua akili za dogo zimeshikiliwa na mama yake. Na hivyo akaona hawezi kutosha kwenye maisha yake.
 
Dogo anazingua, ngoja na huyo aliyekuwa mpenzi wake afunguke
 
B.itches eeeh....wasaka fursa tuu. Aliona mwana hatacheza tena sasa imekula kwake.
Find them, feel them forget them ndio dawa yao hawa warembo.
Ni mashetani sema mashetani yenye mbususu tamu
 
mimi alinikera kitendo chake cha kutokuwa na adabu kwa viongozi wa yanga, na ile kutetewa na Rais kwasababu tu ni mzanzibar, hii kitu ilinikera huyu dogo aisee. wazanzibar ni watu wa kuwaangalia sana, wanateteana hadi kwenye vitu vya kijinga kabisa.

kwa hiyo sasaivi anawaangalia wenzie wakichanja mbuga wakati yeye analamba koni.
 
Amekimbiwa hadi na Shirikisho
 
umama mwenyewe😉
 
Kwenye maisha penda sana Amani ya Moyo, Salimu yeye alitaka Amani ya Moyo... Uwezi kulazimisha kukaa sehemu moyo ulishakataa, na yeye mwenyewe alisema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…