Uongo mtupu, si kila aliyepo Dubai ni Muislam.Acha kumuonea Fei, Dubai kwenyewe tena kipindi cha Mwezi wa Ramadhani, bint mrembo maridhawa wa kiarabu tena swala tano nikajifanya muungwana kwa kumwambia ni mwezi wa Ramadhani, yeye akanitamkia kwamba "Ramadhani ipo huko nje, humu ndani hakuna Ramadhani"
Sasa ndiyo unataka umbebeshe hu mzigo Fei ambaye ni kijana kutoka sijui Pingwe , sijui Kizimkazi...usimuonee bana
Usinibishie basi kipenzi. Kwani wapi nimetoa takwimu za aina ya watu waliopo dubai mama?Uongo mtupu, si kila aliyepo Dubai ni Muislam.
Hii ndio karma Sasa."Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje, nikakutana na pigo lingine la kukimbiwa na mpenzi wangu ambaye niliamini ningekuja kumuoa...
Bitter truth..Eti kuna wajinga wanaamin wanapendwa na wanawake walionao
Ukweli ni kuwa mwanamke anapenda hali yako ya kimaisha
Ikiwa shetani ako na bro wake basi dogo yupo sahihi πKatoto kalichotumia walemavu kama wasemaji wa sukari kupanda bei kwa kweli ni kajinga.
Baada ya kutetewa na mkubwa wa nchi unadai ni mapenzi kushuka kiwango.
Nchi hii kama waziri mbarawa ana shangaa ndege kuchukua lisaa li Moja bara basi na huyu mtoto kaleta kali ya mwaka.View attachment 2770993
Katoto tumewumeka pendingIkiwa shetani ako na bro wake basi dogo yupo sahihi [emoji23]
We sema umeamua kuonesha jinsi huna akili, umevamia pernality ya mtu na sio funzo kutokana na kilichoulizwa au kuandikwaWanawake huwa tunaona mbali, wee mtu anawanyambua mabosi wake hadharani, mara anasema walikuwa wanamlisha ugali na sukari ndo angeweza kumstiri mke?
Siku vingeumana angeenda klauzi kusema mke alikuwa anampa nyama mbichi (elewa neno nyama) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume kifua bwana, mwanaume koromeo, mwanaume hasusi.... lile sakata lilionesha ana umama mwingi, kiasi akimbiwe.
Wanawake matapeli tu aliona kijana.maisha yame mpiga sasa, atapigwa yeyeWanawake huwa tunaona mbali, wee mtu anawanyambua mabosi wake hadharani, mara anasema walikuwa wanamlisha ugali na sukari ndo angeweza kumstiri mke?
Siku vingeumana angeenda klauzi kusema mke alikuwa anampa nyama mbichi (elewa neno nyama) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume kifua bwana, mwanaume koromeo, mwanaume hasusi.... lile sakata lilionesha ana umama mwingi, kiasi akimbiwe.
Short and clearHuyo Mwanamke alikuwa hampendi ila alikuwa anapenda Pesa zake.
kuhusu mama yangu siwezi jua kwa kweli maana wakati anaolewa sikuwepo,Mume wangu.
Mama'ko alitolewa na nani usichana wake?