Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

Wanawake huwa tunaona mbali, wee mtu anawanyambua mabosi wake hadharani, mara anasema walikuwa wanamlisha ugali na sukari ndo angeweza kumstiri mke?
Siku vingeumana angeenda klauzi kusema mke alikuwa anampa nyama mbichi (elewa neno nyama)
 
Wanaume 80% hatuko na watupendao.
Bali tupo na wanaopendana na pesa na heshima.

UKiambiwa unapendwa...jiulize mmekutana kwenye mazingira gani.

Ikiwa ulimhonga ukampata huyo wewe sio mpenzi wako bali anampenda pesa.

Ukisikia ninakupenda mpenzi kwasababu unanijali...hapa maana yake unampa pesa...hupendwi inapendwa pesa tu
 
kuhusu mama yangu siwezi jua kwa kweli maana wakati anaolewa sikuwepo,

but i said no offence intended, i was just being curious, why such a rude reply madam?
Kamuulize basi mama'ko kama ulivyouliza mama wa wenzako.

Mbona nimekujibu calmly, umeona nimekuwa offended? Aulizae ataka kujuwa.
 
Kamuulize basi mama'ko kama ulivyouliza mama wa wenzako.

Mbona nimekujibu calmly, umeona nimekuwa offended? Aulizae ataka kujuwa.
mama yangu alishatangulia mbele ya haki bi dada, ila swali langu kwako lilitokana na comment yako mama, maana ulisema muislam hatakiwi kuwa na mahusiano ya kimapenzi kabla ya ndoa, ndo nikauliza wewe aliyekutoa usichana wako ndo mumeo au kuna mwingine, sasa hapo nilikosea nn mpaka umwingize mama yangu?
 
Kwani mama'ko ana hadhi kuliko sisi mama za wenzako hata tusimuingize? Au tukuulize wewe. ulitolewa bikra kabla ya ya kuolewa?

Asiye Muislam anatakiwa kufanya ngono na kubikiriwa kabla ya kuolewa?

Kama alitangulia mbele ya haki waulize dada zake au wajomba zako watakwambia tu, aulizae ataka kujuwa.
 
Kwani mamako ana hadhi kuliko sisi mama za wenzako?

Asiye Muislam anatakiwa kufanya ngono na kubikiriwa kabla ya kuolewa?

Kama alitangulia mbele ya haki waulize dada zake au wajomba zako watakwambia tu, aulizae ataka kujuwa.
naona una makasiriko sana, ngoja nikuache tu, maana wewe ndo umeongelea mambo ya uislam, yaani ulikuwa specific kwa waislam, hukusema haitakiwi mtu(yaani dini zote) kuwa ktk mahusiano ya kabla ya ndoa, na sio kila niulizalo mama wa wenzangu basi nimuulize pia mama yangu. sawa bi dada?
 
Kwani asiye Muislam anatakiwa kufanya ngono kabla ya kuolewa?

Sasa ulitaka niongelee Ukristo?

Wewe umeniuliza swali la bikra yangu, nimekujibu na mimi nakuuliza swali la bikra ya mama'ko naona unahaha.
 
Kujuwa === kujua

hv uko shule mlienda kusoma ujinga?
 
Sasa ulitaka niongelee Ukristo?

Wewe umeniuliza swali la bikra yangu, nimekujibu na mimi nakuuliza swali la bikra ya mama'ko naona unahaha.
kwani mm nilikuuliza kuhusu bikra ya mama yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…