Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Nimekuta wapenzi wa club ya Simba wakimjadili msemaji mpya wa Simba na kumuita AHMED ALLY "KIRAKA" kwamba nikama ameziba uchakavu uliosababishwa na kuondolewa kwa msemaji wa Simba Haji Manara kisha yeye kuleta matambo na kejeli/matusi.
Katika interview hii rasmi hakika Ahmed Ally anastahili kuitwa KIRAKA kwa jinsi alivyojibu maswali kwa lugha ya weledi mkubwa na kuhitimisha kuwa kina Masau Bwire ndio Wasemaji wa Club na sio Haji maana Haji Manara ni mhamasishaji tuu na hana la kujifunza kwake.
Kweli huyu ni KIRAKA! Kumbe ndio maana hata Yanga wana msemaji Hassan Bumbuli, lakini huyu anayejiita SEMAJI LA DUNIA sio chochote bali mhamasishaji kama vile vikundi ngoma na tarumbeta, sema yeye ni kikundi cha mtu mmoja.
Msikilize KIRAKA.