Huyu AHMED ALLY wa Simba Kweli 'KIRAKA'

Huyu AHMED ALLY wa Simba Kweli 'KIRAKA'

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Nimekuta wapenzi wa club ya Simba wakimjadili msemaji mpya wa Simba na kumuita AHMED ALLY "KIRAKA" kwamba nikama ameziba uchakavu uliosababishwa na kuondolewa kwa msemaji wa Simba Haji Manara kisha yeye kuleta matambo na kejeli/matusi.

Katika interview hii rasmi hakika Ahmed Ally anastahili kuitwa KIRAKA kwa jinsi alivyojibu maswali kwa lugha ya weledi mkubwa na kuhitimisha kuwa kina Masau Bwire ndio Wasemaji wa Club na sio Haji maana Haji Manara ni mhamasishaji tuu na hana la kujifunza kwake.

Kweli huyu ni KIRAKA! Kumbe ndio maana hata Yanga wana msemaji Hassan Bumbuli, lakini huyu anayejiita SEMAJI LA DUNIA sio chochote bali mhamasishaji kama vile vikundi ngoma na tarumbeta, sema yeye ni kikundi cha mtu mmoja.
Msikilize KIRAKA.

Na uzuri ni kwamba nyie wote mnamjua Haji Manara vizuri, wala sio mgeni kwenu.
 
Kwamba!
JamiiForums1325907498.jpg
 
Nimekuta wapenzi wa club ya Simba wakimjadili msemaji mpya wa Simba na kumuita AHMED ALLY "KIRAKA" kwamba nikama ameziba uchakavu uliosababishwa na kuondolewa kwa msemaji wa Simba Haji Manara kisha yeye kuleta matambo na kejeli/matusi.
Katika interview hii rasmi hakika Ahmed Ally anastahili kuitwa KIRAKA kwa jinsi alivyojibu maswali kwa lugha ya weledi mkubwa na kuhitimisha kuwa kina Masau Bwire ndio Wasemaji wa Club na sio Haji maana Haji Manara ni mhamasishaji tuu na hana la kujifunza kwake.
Kweli huyu ni KIRAKA! Kumbe ndio maana hata Yanga wana msemaji Hassan Bumbuli, lakini huyu anayejiita SEMAJI LA DUNIA sio chochote bali mhamasishaji kama vile vikundi ngoma na tarumbeta, sema yeye ni kikundi cha mtu mmoja.
Msikilize KIRAKA;

Huyu kashafeli kabla ya kuanza, angejibu maswali kwa weledi na siyo kuanza vijembe, namna alivyojibu maswali ni kama Mwijaku tu. Asubiri kujibiwa tena majibu mabovu.
 
Manara ana uzoefu mkubwa wa kusema kwenye media.

Huyu Ahmed Ally asije akajutia huko mbele kama Manara wakimruhusu na yy aendelee kuongea

Na Manara huwa hana uchaguzi wa silaha kwenye vita ya maneno, anaweza akakupiga na kitu chenye ncha kali kichwani na ukafa hapo hapo
 
Vita ya maneno ndo raha ya Manara.Huyu amekuja kumpa raha asubiri tu kujibiwa
 
Nimekuta wapenzi wa club ya Simba wakimjadili msemaji mpya wa Simba na kumuita AHMED ALLY "KIRAKA" kwamba nikama ameziba uchakavu uliosababishwa na kuondolewa kwa msemaji wa Simba Haji Manara kisha yeye kuleta matambo na kejeli/matusi.
Katika interview hii rasmi hakika Ahmed Ally anastahili kuitwa KIRAKA kwa jinsi alivyojibu maswali kwa lugha ya weledi mkubwa na kuhitimisha kuwa kina Masau Bwire ndio Wasemaji wa Club na sio Haji maana Haji Manara ni mhamasishaji tuu na hana la kujifunza kwake.
Kweli huyu ni KIRAKA! Kumbe ndio maana hata Yanga wana msemaji Hassan Bumbuli, lakini huyu anayejiita SEMAJI LA DUNIA sio chochote bali mhamasishaji kama vile vikundi ngoma na tarumbeta, sema yeye ni kikundi cha mtu mmoja.
Msikilize KIRAKA;

Msomi huyo na ana tin namba Kabisa
 
Manara ana uzoefu mkubwa wa kusema kwenye media.

Huyu Ahmed Ally asije akajutia huko mbele kama Manara wakimruhusu na yy aendelee kuongea

Na Manara huwa hana uchaguzi wa silaha kwenye vita ya maneno, anaweza akakupiga na kitu chenye ncha kali kichwani na ukafa hapo hapo
Labda media uchwara ila hizi tunazozifahamu sisi zote zimemtenga wapo bize na bumbuli tu.....
 
Huyo mwehu kila mtu anamjua. alitukana Mo mpaka akajiona k leo hii tunashangae kwa Ahmed? mwehu hachagui jalala
Mtu anayemkimbiza mwehu na yeye si anaonekana mwehu?Ahmed kaamua kupambana na Mwehu sasa asubiri moto wa mwehu,nasikia leo ashapewa vyake huko
 
Ligi ya Maneno ndio anaipenda sana Haji, na ndio inayomfanya apate kiki na followers wa kuitangaza GSM kwenye post zake. Yupo kikazi hapo
 
Na hilo ndilo anakuja nalo, ni very predictable,huwa najiuliza,ilikuwaje huyu akakaa Simba miaka yote ile,maana kaondoka ndiyo nauona ujinga wake mwingi.
hapa unajiuliza ilikuaje alifanya ujinga miaka minne na hukuwa unauona ujinga wake
 
Back
Top Bottom