Huyo jamaa ametumia gharama kubwa kweli kwenye matangazo hayo....ila namna ya utangazaji wake ni uchafunzi wa mazingira..Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k
Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.
Utakua hujapatau Ubungo interchange weweMkuu ungekuwa na gari hayo yote yasingekusumbua kuzurura na miguu kushangaa mabango
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha inakuja...mabanho yake yana rangi ya njanoPicha wapi maana si wote hutembea huku tunasoma mabandiko barabara, kila mtu a mawazo yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] au tatizo ni mabango ya njano?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Picha inakuja...mabanho yake yana rangi ya njano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF raha kweli jamanii uuuwiii!! Nimechekaa !!!!Mkuu ungekuwa na gari hayo yote yasingekusumbua kuzurura na miguu kushangaa mabango
Sent using Jamii Forums mobile app