Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

Nawasalimu katika IMANI,UPENDO na MIUJIUZA ,leo ni leo Injili itaanza,usipange kukosa.
Maisha ya dhambi uliyoishi yanatosha,sogea eneo la tukio leo kwa wale wa Dar usikie Mungu anasema nini na wewe.
IMANI,UPENDO ,MIUJIZA
IMANI,UPENDO ,MIUJIZA
IMANI,UPENDO ,MIUJIZA
IMANI,UPENDO ,MIUJIZA
IMANI,UPENDO ,MIUJIZA
IMANI,UPENDO ,MIUJIZA
IMANI,UPENDO ,MIUJIZA
 
Najiandaa kusogea huko Ilipo Imani,Pendo na Miujiza.
 
Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k

Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.

=========

View attachment 1943336

View attachment 1943337
Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar

View attachment 1945794
Baadhi ya mabango yakiwa yameondolewa eneo la ujezi wa flyover-Chang'ombe
Unatembea sana kwa miguu kuzurura. Ukiwa na gari au ukiwa busy wala hupati nafasi ya kuwa na hasira ya namna hii ... Lamba limao.
 
Upendo,Imani,Miujiza Leo ndio leo ,mikutano inafanyika kwa pamoja...nenda kwenye mkutano ulio karibu na wewe.
 
ukiwa shapu, kwa imani upendo na miujiza unaweza jikuta umepata ka binti kalokole chap
 
Tuache ushabiki wa kidini this is too much ubandikaji gani ule wa matangazo
Nadhani mpaka kipofu ataona hilo tangazo. Nilipita JANGWANI juzi nikakuta kikundi cha watu chini na ndoo za gundi na hayo mapeperushi nikajisemea wapuuzi kwenye upuuzi wao...

Mimi kama mkuu wa mkoa mstaafu nawaamuru mkutano wao wa dini utakapo isha waende wakasafishe kuta za watu

Ova

Utakuwa Makonda?
 
Kwa nchi zilizojaa ustaarabu huu ujinga na uchafuzi wa mazingira usingefanyika kamwe hatuwezi kuona jiji linachafuliwa kiasi hiki kisa imani.

Sasa hujasema nini kifanyike, umenung”unika tu hapa!
 
Nilidhani una hoja ya maana kumbe umeona matangazo usiyoyapenda wewe binafsi yako

Maana maeneo hayo hayo matangazo ya wengine hasa waganga wa kienyeji yapo,hujaongea lolote,umeona hili usilolipenda umeamua kuongea
Kwanini usipige marufuku matangazo ya aina yeyote hua yanakua maeneo hayo siku zote?

Matatizo ya double standard yanakupelekesha sana..Kaa kwa kutulia mkuu
Mwambie huyu
 
Acha watu wakamchangie muhindi gharama alizotumia kutangaza.

Mpaka karne ya ishirini na moja binadamu mwafrika hajui injili mpaka aende mkutanoni, biblia zimejaa ndni, YouTube, Facebook, minyimbo ya onjili kila kona nk bado hawaelewi kilichoandikwa ila wiki moja ya muhindi wataelewa zaidi.

Ajabu sana.
kama hujui kitu uliza ...kuliko kuongea vumbi
 
Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k

Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.

=========

View attachment 1943336

View attachment 1943337
Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar

View attachment 1945794
Baadhi ya mabango yakiwa yameondolewa eneo la ujezi wa flyover-Chang'ombe
W

We acha porojo karibu kwenye mkutano wa injili
 
Back
Top Bottom