General relativity
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 462
- 693
Mbuzi wangu amerudi na imani upendo miujiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Reinhard Bonnke (19 April 1940 – 7 December 2019) was a German-AmericanHuko Dar kuna. Kila aina ya fujo fujo
hahahahaha umenikumbusha kitu wale wapuuzi mbona hawakubandika ukuta wa jengo la Eagle Wings Pale Oysterbay?Uchaguzi uliopita, makaratasi ya Magufuli yalibandikwa hadi kuta za ubalozi wa Ufaransa, pale Hamza alipofanya yake.
Eagle Wings Pale Oysterbay?hahahahaha umenikumbusha kitu wale wapuuzi mbona hawakubandika ukuta wa jengo la Eagle Wings Pale Oysterbay?
Nilicheka Sana baada ya kuona Ile Haile Selassie road wamebandika shule ya msingi Oysterbay na bongoyo kufika pale kwa mtoto wa Bakhresa wakachimbwa mkwara na walinzi wakasepa mbele pale Usalama wakaruka wakaenda bandika mbele
Halafu Kuna nyumba Moja ya mzungu ipo mkabala na nyumba mpya ya balozi wa Oman wakabandika mengi kinoma
Yule mzungu aliwamaindi walinzi Kwa uzembe na adhabu Yao ikawa kuyabandua na kuosha ukuta
Kile kitendo kilinifanya nijisikie mbaka aibu Kama raia wa Tanzania maana kupitia mabango ya jiwe tukaonekana ni watu wa hovyo Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu Sina picha ya eneo sababu now nipo mbaliEagle Wings Pale Oysterbay?
Embu type picha ya hapo na ututafsirie kwa kiswahili
Umeongea pumba mbaka kinyaa unajua umuhimu wa mikutano hiyo???!na katika ukristo hiyo ni lazima labda kwenye dini yako wewe, na mkristo wewe basi ni kilazaAcha watu wakamchangie muhindi gharama alizotumia kutangaza.
Mpaka karne ya ishirini na moja binadamu mwafrika hajui injili mpaka aende mkutanoni, biblia zimejaa ndni, you tube, facebook ,minyimbo ya onjili kila kona nk bado hawaelewi kilichoandikwa ila wiki moja ya muhindi wataelewa zaidi.
Ajabu sana.
Kachafua sana mji hata mimi nashangaa kwa ukimya huu pale bondeni darajani New Bagamoyo rd , nguzo za daraja lote ambalo ni jipya zimesilibwa na haya makaratasi,mimi nilidhani Mzee Mpili wa Yanga ana neno la kunena kwenye hili daraja. Sijui viongozi wako wapiMatangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k
Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.
=========
View attachment 1943336
View attachment 1943337
Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar
View attachment 1945794
Baadhi ya mabango yakiwa yameondolewa eneo la ujezi wa flyover-Chang'ombe
Umeongea pumba mbaka kinyaa unajua umuhimu wa mikutano hiyo???!na katika ukristo hiyo ni lazima labda kwenye dini yako wewe, na mkristo wewe basi ni kilaza
Kau
Kachafua sana mji hata mimi nashangaa kwa ukimya huu pale bondeni darajani New Bagamoyo rd , nguzo za daraja lote ambalo ni jipya zimesilibwa na haya makaratasi,mimi nilidhani Mzee Mpili wa Yanga ana neno la kunena kwenye hili daraja. Sijui viongozi wako wapi
na masaki yako kibao ya massage SPA parlourNilidhani una hoja ya maana kumbe umeona matangazo usiyoyapenda wewe binafsi yako
Maana maeneo hayo hayo matangazo ya wengine hasa waganga wa kienyeji yapo,hujaongea lolote,umeona hili usilolipenda umeamua kuongea
Kwanini usipige marufuku matangazo ya aina yeyote hua yanakua maeneo hayo siku zote?
Matatizo ya double standard yanakupelekesha sana..Kaa kwa kutulia mkuu
masaki bhana nyumba moja ya pili ni massage SPA...na masaki yako kibao ya massage SPA parlour
hajayaona
Kama mabango tu mengi hivyo sijui mkutano wenyewe utakuaje,ngoja niende nikaone aiseeeItabidi nihudhurieView attachment 1950826View attachment 1950827
Nasikia jamaa hachukui hata miaAcha watu wakamchangie muhindi gharama alizotumia kutangaza.
Mpaka karne ya ishirini na moja binadamu mwafrika hajui injili mpaka aende mkutanoni, biblia zimejaa ndni, you tube, facebook ,minyimbo ya onjili kila kona nk bado hawaelewi kilichoandikwa ila wiki moja ya muhindi wataelewa zaidi.
Ajabu sana.
Tatizo lako ni kusoma sentensi yangu ya kwanza tu na kabla ya kumaliza andiko langu zima unawaki keyboard kuanza kujibu. Ungesoma yote wala usingeandika ulichoandika!!Kumbe issue ni jinsi ya kubandika pattern yake hujaipenda?
Ulitaka aweke pattern unayotaka wewe?
Basi waelimishe waelewe waweke kwa staili unayoipenda
Kumbuka wewe ni mtu mmoja una staili yako,watakuja wengine milioni kama wewe kila mmoja anapenda pattern yake,mbandikaji hawezi wafata wote mtakayo,the logical solution ni yeye kufata anafikiri kichwani mwake.
In principle tulitaka utuambie wamevunja sheria gani ya nchi?
Kama by your own judgement unaona wamevunja sheria pahala,well,wafungulie kesi
Naona humu kila mtu analalamikia staili anayoitaka yeye kwenye macho yake,ni ngumu kufata staili za watu milioni 60 kama wewe!
Sometimes wanadamu muwe mnaangalia legality ya kitu na sio macho yako yanataka nini,kama kavunja laws then take action na sio tufuate upendezo wa macho yako wewe mtu mmoja!