Rais magifuri alikuwa muuwaji wa watu na democrasia.Mungu huyo huyo pia ndiye huwa anaruhusu watoto wachanga wafe siku ya kuzaliwa.
Msiwe watumwa kifikra kwa siasa zenu uchwara hadi kumsingizia MUNGU kila kitu.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
In fact there's nothing strange to the extent of best point, that's why I replied to you by visible and reasonable answer.Nimemsingizia kwenye nini? Umeelewa nilichoandika Lakini .. Brother learn to be a great thinker not great sinker!
Mbona hakukuua wewe sasa [emoji848][emoji28]Rais magifuri alikuwa muuwaji wa watu na democrasia.
Akatuomba tumuombee tukamuombea AFE kweli mungu akaruhusu akafa na watu wake wote aliokuwa anashirikiana nao.
Limekufa nchi imetulia tuliiii, hakuna kelele wala majogambo.
Vyakula vya funza mnaliwazana ujinga bila kujua ni muda tu nanyi mtakwenda njia hiyo hiyo [emoji23]Lilipiga pushups wakati wa compaign 2015 likimnanga Mzee Lowassa kwamba anaumwa ila lenyewe ni lizima kumbe mungu analihesabia TU siku.
Limekifa kama mbwa asiekuwa na mwenyewe.
😆😄😃😀Lilipiga pushups wakati wa compaign 2015 likimnanga Mzee Lowassa kwamba anaumwa ila lenyewe ni lizima kumbe mungu analihesabia TU siku.
Limekifa kama mbwa asiekuwa na mwenyewe.
Sasa mnaishupslia Katiba mpya ya nini, Kama mnataka kuwachukia wenzenu kwa kutoa ya moyoni kumpinga mtu wa kaburini, angebaki Leo ungeandika PUMBA hivi unazijua JF ya enzi za mwendazake?
Kuna mahali nimesema hivyo?Kwamba Mungu amekataza walio kosea kukaripiwa au sio. .. .
Rejea neno KUDINGIZIAIn fact there's nothing strange to the extent of best point, that's why I replied to you by visible and reasonable answer.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kitaumana moto lazima uwakeKalikenya aliyemchoma kwa mkuu alishaachiwa kutoka Butimba so yuko mtaani sasa Afande naye hana kazi ana'haso' kitaa sijui nini kitatokea wakikutana,,
Tunachofurahia ni kwamba katangulia, bila hivyo angetutaguliza wengi, kiongozi gani anafukia wenzake mto Ruvu na kwenye fukwe za bahari km sio sisi watu wake.Vyakula vya funza mnaliwazana ujinga bila kujua ni muda tu nanyi mtakwenda njia hiyo hiyo [emoji23]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hata angefutwa kazi tungehakikisha anarejeshwa , huyu jama ni jasiri kinyamaSi alisamehewa pale pale au me ndio sikumbuki?
Ana nyota 3 sasa hivi. Huyu mwamba alijua kujibu.Yawezekana ni member humu ambae huwa anajiita Stuxnet. Maana jamaa anachuki sana na hayati JPM huenda ndio yeye na alifutwa kazi, sina hakika. Tujuzane.
View attachment 2183086
Acha uongoKalikenya aliyemchoma kwa mkuu alishaachiwa kutoka Butimba so yuko mtaani sasa Afande naye hana kazi ana'haso' kitaa sijui nini kitatokea wakikutana,,
Jiwe hakuwa na elimu kuhusu universeJiwe limebondeka jamaa bado yuko anadunda.. Mungu huyu...[emoji848][emoji2827]