nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Rais magifuri alikuwa muuwaji wa watu na democrasia.Mungu huyo huyo pia ndiye huwa anaruhusu watoto wachanga wafe siku ya kuzaliwa.
Msiwe watumwa kifikra kwa siasa zenu uchwara hadi kumsingizia MUNGU kila kitu.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Akatuomba tumuombee tukamuombea AFE kweli mungu akaruhusu akafa na watu wake wote aliokuwa anashirikiana nao.
Limekufa nchi imetulia tuliiii, hakuna kelele wala majogambo.