Huyu askari Magereza aliyepishana Lugha na hayati JPM alifutwa kazi? Kama alifutwa kazi sasa yupo wapi?

Huyu askari Magereza aliyepishana Lugha na hayati JPM alifutwa kazi? Kama alifutwa kazi sasa yupo wapi?

Mungu huyo huyo pia ndiye huwa anaruhusu watoto wachanga wafe siku ya kuzaliwa.

Msiwe watumwa kifikra kwa siasa zenu uchwara hadi kumsingizia MUNGU kila kitu.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Rais magifuri alikuwa muuwaji wa watu na democrasia.

Akatuomba tumuombee tukamuombea AFE kweli mungu akaruhusu akafa na watu wake wote aliokuwa anashirikiana nao.

Limekufa nchi imetulia tuliiii, hakuna kelele wala majogambo.
 
Mbona hakukuua wewe sasa [emoji848][emoji28]

Kikundi chenu cha JF na uhalisia wa jinsi mwamba anavyokubalika mitaani ni pumba tupu mnazotamba nazo hapa JF [emoji16]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Lilipiga pushups wakati wa compaign 2015 likimnanga Mzee Lowassa kwamba anaumwa ila lenyewe ni lizima kumbe mungu analihesabia TU siku.

Limekifa kama mbwa asiekuwa na mwenyewe.
Vyakula vya funza mnaliwazana ujinga bila kujua ni muda tu nanyi mtakwenda njia hiyo hiyo [emoji23]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Halafu jamaa wala hakumaanisha kile alichoelewa Magu. Yeye alisema "kuinuliwa" akimaanisha kunyanunuliwa ili kujibu maswali; mheshimiwa akaelewa vingine. Sijui aliishia wapi.
 
Lilipiga pushups wakati wa compaign 2015 likimnanga Mzee Lowassa kwamba anaumwa ila lenyewe ni lizima kumbe mungu analihesabia TU siku.

Limekifa kama mbwa asiekuwa na mwenyewe.
😆😄😃😀
 
Kalikenya aliyemchoma kwa mkuu alishaachiwa kutoka Butimba so yuko mtaani sasa Afande naye hana kazi ana'haso' kitaa sijui nini kitatokea wakikutana,,
Kitaumana moto lazima uwake
 
Alichomolewa nyota moja na alihamishiwa huko ukerewe sijui kwa sasa yupo wapi
 
Vyakula vya funza mnaliwazana ujinga bila kujua ni muda tu nanyi mtakwenda njia hiyo hiyo [emoji23]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Tunachofurahia ni kwamba katangulia, bila hivyo angetutaguliza wengi, kiongozi gani anafukia wenzake mto Ruvu na kwenye fukwe za bahari km sio sisi watu wake.
Bora katangulia ingawa tutamfuata lkn sio motoni km yeye
 
Kuna binadamu wa kweli, siyo wa kwenye avatar, aliyewahi kumdindia yule dikteta. Ni mama mmjoa hivi. Alikuwa mkurugenzi wa halmashauri. Alimwambia Magufili kwa mimi siwezi kuweka mafungu yote kichwani...
 
Alihamishwa Kutoka Gereza la Butimba Kwenda Ukerewe
 
Back
Top Bottom