Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
Hivi huu Mwamba Mwamakula kanisa lake kwa hapa Dar lipogo wapi na ibada ni saa ngapi?Maana anaonekana zaidi kwenye matukio na mihadhara ya siasa ya vyama upinzani kuliko Kanisani.
Yaani kuna watu Mwamakula wakimuona tu,kinachowajia kichwani ni Siasa za upinzani,wala si neno la Mungu.
Kwa mfano ukimuona Rua'ichi paaa, kinachokujia kichwani fasta ni neno la Mungu,Ukimuona Bagonza Paa, kinachokujia fasta kichwani ni neno la Mungu na ukosoaji wa kifalsafa,ukimuona Gwajima vup, kinachokujia fasta kichwani ni Mahubiri na siasa za CCM,ila ukimuona Mwamakula,moja kwa moja CHADEMA inakujia kichwani,kuna watu wanamfahamu kama askofu wa CHADEMA.
Mwenye anajua kanisa lake lilipo anipe location niende ibadani leo nikale neno mimi bana.