Huyu Askofu Mwamakula ni mfuasi wa vyama vya upinzani tu.? Kanisa lake liko wapi hapa Dar.?

Sisi wengine ni wakristo na wala huko kanisani hatuendi, isipokuwa mimi najua ni Askofu wa kweli kwani anatetea haki. Hata huyo Yesu hakuwa anahuburi katika kanisa moja na sehemu hiyo hiyo kila siku.
Yesu hakuhubiri siasa
 
Inaonekana humjui unayemzungumzia

Hoja za hovyo tu
 
Hivi huu Mwamba Mwamakula kanisa lake kwa hapa Dar lipogo wapi na ibada ni saa ngapi?Maana anaonekana zaidi kwenye matukio na mihadhara ya siasa ya vyama upinzani kuliko Kanisani.
Yaani kuna watu Mwamakula wakimuona tu,kinachowajia kichwani ni Siasa za upinzani,wala si neno la Mungu.
Kwa mfano ukimuona Rua'ichi paaa, kinachokujia kichwani fasta ni neno la Mungu,Ukimuona Bagonza Paa,kinachokujia fasta kichwani ni neno la Mungu na ukosoaji wa kifalsafa,ukimuona Gwajima vup, kinachokujia fasta kichwani ni Mahubiri na siasa za CCM,ila ukimuona Mwamakula,moja kwa moja CHADEMA inakujia kichwani,kuna watu wanamfahamu kama askofu wa CHADEMA.
Mwenye anajua kanisa lake lilipo anipe location niende ibadani leo nikale neno mimi bana.

View attachment 2100670
Huyo ni askofu mchongo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni mwekiti wa makanisa ya anglikana hivyo ni msimamizi ila kufundiha kanisani sio saaana kama hawa wachungaji wadogo wadogo huwa ana nafasi kubwa kutalii kuliko kuingia kanisani
 
Eti ndugu Mwananchi wa chini, kwani na huyu Sheikh Alhad Mussa Salum na yeye Msikiti wake uko wapi? Maana lisitokee kongamano/mkutano/kikao cha ccm na viongozi wake!

Lazima ahudhurie!
Kaka.. Alhadi ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar taasisi ya Bakwata.
Kwa waislamu Bakwata ni sawa Roman Katoliki. Alhadi ni sawa na Askofu wa Roman Katoliki wa mkoa wa Dar.
 
Back
Top Bottom