Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Baada ya muda utasahau kila kitu, ila kwa sababu umetoa nadhiri kwa Mungu, usipofanya atakukumbusha kwa namna nyingine.Asante mkuu, nimepanga badilisha njia zangu na kutoa sadaka ya shukrani.. maisha yanasiri kubwa.
Kuishi kwakutegemea dawa sio maisha mazuri mkuu.Unachanganyikiwa nini sasa. Kuna magonjwa mazito kuliko huo. Kama unaogopa kumeza dawa kila siku hata wagonjwa wa sukari na pressure wanameza daily. Hofu ndio inaweza kuondoa uhai wako wala sio huo ukimwi unao uogopa.
Asante mkuu, nitaenda hospital kupima kipimo hicho na asante Kwa kuniweka sawa.. maana mwezi mzima nimepanick, sijui hata naishijeSikiliza kwa makini mkuu [emoji16]
Naona ushapaniki siku 40 zinatosha kuonyesha kama maambukizi unayo au hauna ingekuwa vyema zaidi ungepima hospitali zaidi kile kipimo ambacho wanatoa damu kwenye mkono katikati ya upande wa msuli na kiwiko sijamaanisha cha kwanza hakifai la hasha ni kwa uhakika zaidi kukuondolea hofu na
hicho ukikutwa hauna nenda kafanye sherehe achana na mambo ya miezi mitatu na wala wasikutishe hawajui chochote humu
Mwanaume kufanya mapenzi na muathirika sio rahisi kupata kama unavyofikiria la sivyo dunia nzima tungekuwa nao
Unaupata pale ambapo utatokea mchubuko na mchubuko unakuja pale ambapo utakamia gemu trust me na mchubuko ukiupata utajua tu na ukila tigo huwezi pona lazima upate lakini kama ni mstaarab unamuandaa fresh au kibao kimoja tu huwezi pata
Na kama dada anatumia arv viral load yake inakuwa ndogo hawezi kukuambukiza
Katika watu ambao wangetakiwa wasisitize matumizi ya kinga ni wanawake wao kupata ni kitendo cha kugusa tu kutokana na maumbile yao
Amen mkuu, safari hii kubadilika lazima, maana naishi maisha ya hovyo sana kisa hofu.Baada ya muda utasahau kila kitu, ila kwa sababu umetoa nadhiri kwa Mungu, usipofanya atakukumbusha kwa namna nyingine.
Kuna limaza limoja linao lakin huwa natumia mara moja moja na sina ngoma mpaka sasa na uzuri wake huwa linapenda goli moja tu na lisiwe refu sana maana naona linaogopa kuniambukiza. Tatizo ni litamu muno na linaviuno vya kiustadi kuna muda huwa natamani nilichakaze zaidi ila linanibaniaMwanamke anaetumia dawa za arv anakuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza
Virus wanakuwa wamefubaa sana kwa hiyo mkuu kuwa na amani na endelea kumchakata lakini hakikisha unamuandaa vzr na kusiwe na michubuko
Ndg yangu kuna kitu inaitwa Power of Mind, usiwaze sana jitahid uepuke hayo mawazo hasi, ubongo utaenda sawa na mawazo yako utatengeneza dalili za huo ugonjwa utaanza kukonda kuwaza na kuumwa umwaAsante mkuu, nitaenda hospital kupima kipimo hicho na asante Kwa kuniweka sawa.. maana mwezi mzima nimepanick, sijui hata naishije
Shukrani sana mkuu kwa kunijenga. Ubarikiwe kwa maneno yenye nguvu kubwaNdg yangu kuna kitu inaitwa Power of Mind, usiwaze sana jitahid uepuke hayo mawazo hasi, ubongo utaenda sawa na mawazo yako utatengeneza dalili za huo ugonjwa utaanza kukonda kuwaza na kuumwa umwa
Miili yetu iko complex sana ila ubongo ndio kila kitu, kupona kwako kunaanzia kichwani
Nakupa huu mfano:
Nilishawahi umwa nkawa kitandani ndg wakawa na wasiwasi ila rafiki zangu wakawa wanasema “aah huyo jamaa anaumwa ila week ijayo utamkuta kainuka anaendelea na mambo yake kama sio yeye”
Nilipowasikia nkasema kama wana imani kubwa na mimi kuliko mwenyewe kwanini niwangushe, nkaamua screw it napona ndani ya hizi siku mbili... guess what mm huyu hapa naandika hii reply
Nachotaka kusema hiki ni kipind tu kitapita why wasting your time worrying
ni kweli mkuu kuna umuhimu sana kwajinsia zote kuwa na hii elimu.Nashauri ukikutana na Mdada yeyote yule Cha kwanza iwe kupima,lakini poa usimuamini mtu kwa macho hata awe na shepu gani Vaa condom..
Ni kweli mkuu, watu hawasemi kama wanaumwa, Mimi mwenyewe ni vile kuna mishe zilinishitua, ndio nikaongelea suala la kupima na response yake ikawa chini na akauliza vitu ambavyo sio rahisi mtu mzima kuuliza.. Kati ya watu huwezi mdhania kabisa ni huyu bintiVibinti vidogo vilivyozaliwa na hili tatzo mara nyingi huwa havisemi nimeshaona vingi sana,yaan mpaka mabwana zao hutonywa na watu wengine ndo wanashituka
Binti ni mrembo sana mkuu. Ipo siku nitamuelezea vizuri maana sipo sawa
Hiyo kisayansi namba zinagoma 🤣Kuna imani pia kuwa Mwamposa anaponya ngoma ila sijui kisayansi imekaaje.
Ni mrembo sana? Ana shape kali au niaje yani unaweza kutuelezea,au kutupa picha ya mfanano wa kama star ganii?Ni kweli mkuu, watu hawasemi kama wanaumwa, Mimi mwenyewe ni vile kuna mishe zilinishitua, ndio nikaongelea suala la kupima na response yake ikawa chini na akauliza vitu ambavyo sio rahisi mtu mzima kuuliza.. Kati ya watu huwezi mdhania kabisa ni huyu binti
hofu niliyonayo ni kubwa sana wakuu. Maisha yana siri kubwa sana na binadamu tuna mengi sana rohoni mwetu
mimi sio wa kuongea peke yangu wakuu, kuna muda nakuwa kama nimechanganyikiwa kutokana na hofu.
Mkuu namba ninaweza kukupa Ila itaondoa usiri kwasababu akiunganisha dot atajua ni mimi.Ni pm namba yake tafadhali
Ila hiyo avatar yako nimecheka sana aisee