Ndg yangu kuna kitu inaitwa Power of Mind, usiwaze sana jitahid uepuke hayo mawazo hasi, ubongo utaenda sawa na mawazo yako utatengeneza dalili za huo ugonjwa utaanza kukonda kuwaza na kuumwa umwa
Miili yetu iko complex sana ila ubongo ndio kila kitu, kupona kwako kunaanzia kichwani
Nakupa huu mfano:
Nilishawahi umwa nkawa kitandani ndg wakawa na wasiwasi ila rafiki zangu wakawa wanasema “aah huyo jamaa anaumwa ila week ijayo utamkuta kainuka anaendelea na mambo yake kama sio yeye”
Nilipowasikia nkasema kama wana imani kubwa na mimi kuliko mwenyewe kwanini niwangushe, nkaamua screw it napona ndani ya hizi siku mbili... guess what mm huyu hapa naandika hii reply
Nachotaka kusema hiki ni kipind tu kitapita why wasting your time worrying