Huyu binti ameniletea balaa

Huyu binti ameniletea balaa

Unachanganyikiwa nini sasa. Kuna magonjwa mazito kuliko huo. Kama unaogopa kumeza dawa kila siku hata wagonjwa wa sukari na pressure wanameza daily. Hofu ndio inaweza kuondoa uhai wako wala sio huo ukimwi unao uogopa.
Kuishi kwakutegemea dawa sio maisha mazuri mkuu.
 
Sikiliza kwa makini mkuu [emoji16]

Naona ushapaniki siku 40 zinatosha kuonyesha kama maambukizi unayo au hauna ingekuwa vyema zaidi ungepima hospitali zaidi kile kipimo ambacho wanatoa damu kwenye mkono katikati ya upande wa msuli na kiwiko sijamaanisha cha kwanza hakifai la hasha ni kwa uhakika zaidi kukuondolea hofu na

hicho ukikutwa hauna nenda kafanye sherehe achana na mambo ya miezi mitatu na wala wasikutishe hawajui chochote humu

Mwanaume kufanya mapenzi na muathirika sio rahisi kupata kama unavyofikiria la sivyo dunia nzima tungekuwa nao

Unaupata pale ambapo utatokea mchubuko na mchubuko unakuja pale ambapo utakamia gemu trust me na mchubuko ukiupata utajua tu na ukila tigo huwezi pona lazima upate lakini kama ni mstaarab unamuandaa fresh au kibao kimoja tu huwezi pata

Na kama dada anatumia arv viral load yake inakuwa ndogo hawezi kukuambukiza

Katika watu ambao wangetakiwa wasisitize matumizi ya kinga ni wanawake wao kupata ni kitendo cha kugusa tu kutokana na maumbile yao
Asante mkuu, nitaenda hospital kupima kipimo hicho na asante Kwa kuniweka sawa.. maana mwezi mzima nimepanick, sijui hata naishije
 
Baada ya muda utasahau kila kitu, ila kwa sababu umetoa nadhiri kwa Mungu, usipofanya atakukumbusha kwa namna nyingine.
Amen mkuu, safari hii kubadilika lazima, maana naishi maisha ya hovyo sana kisa hofu.

Nikiamka saa 9 usingizi haupo Hadi asubuhi ni mawazo tu
 
Mwanamke anaetumia dawa za arv anakuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza
Virus wanakuwa wamefubaa sana kwa hiyo mkuu kuwa na amani na endelea kumchakata lakini hakikisha unamuandaa vzr na kusiwe na michubuko
Kuna limaza limoja linao lakin huwa natumia mara moja moja na sina ngoma mpaka sasa na uzuri wake huwa linapenda goli moja tu na lisiwe refu sana maana naona linaogopa kuniambukiza. Tatizo ni litamu muno na linaviuno vya kiustadi kuna muda huwa natamani nilichakaze zaidi ila linanibania
Kwa jinsi linavyotumia dawa vizuri hata likipima ngoma majibu yanatoka kuwa lipo negative.
 
Vibinti vidogo vilivyozaliwa na hili tatzo mara nyingi huwa havisemi nimeshaona vingi sana,yaan mpaka mabwana zao hutonywa na watu wengine ndo wanashituka
 
Asante mkuu, nitaenda hospital kupima kipimo hicho na asante Kwa kuniweka sawa.. maana mwezi mzima nimepanick, sijui hata naishije
Ndg yangu kuna kitu inaitwa Power of Mind, usiwaze sana jitahid uepuke hayo mawazo hasi, ubongo utaenda sawa na mawazo yako utatengeneza dalili za huo ugonjwa utaanza kukonda kuwaza na kuumwa umwa

Miili yetu iko complex sana ila ubongo ndio kila kitu, kupona kwako kunaanzia kichwani

Nakupa huu mfano:
Nilishawahi umwa nkawa kitandani ndg wakawa na wasiwasi ila rafiki zangu wakawa wanasema “aah huyo jamaa anaumwa ila week ijayo utamkuta kainuka anaendelea na mambo yake kama sio yeye”

Nilipowasikia nkasema kama wana imani kubwa na mimi kuliko mwenyewe kwanini niwangushe, nkaamua screw it napona ndani ya hizi siku mbili... guess what mm huyu hapa naandika hii reply

Nachotaka kusema hiki ni kipind tu kitapita why wasting your time worrying
 
Shukrani sana mkuu kwa kunijenga. Ubarikiwe kwa maneno yenye nguvu kubwa
 
Nashauri ukikutana na Mdada yeyote yule Cha kwanza iwe kupima,lakini poa usimuamini mtu kwa macho hata awe na shepu gani Vaa condom..
ni kweli mkuu kuna umuhimu sana kwajinsia zote kuwa na hii elimu.
 
Vibinti vidogo vilivyozaliwa na hili tatzo mara nyingi huwa havisemi nimeshaona vingi sana,yaan mpaka mabwana zao hutonywa na watu wengine ndo wanashituka
Ni kweli mkuu, watu hawasemi kama wanaumwa, Mimi mwenyewe ni vile kuna mishe zilinishitua, ndio nikaongelea suala la kupima na response yake ikawa chini na akauliza vitu ambavyo sio rahisi mtu mzima kuuliza.. Kati ya watu huwezi mdhania kabisa ni huyu binti
 
Gent

Ni mrembo sana? Ana shape kali au niaje yani unaweza kutuelezea,au kutupa picha ya mfanano wa kama star ganii?
 
Ni pm namba yake tafadhali

Ila hiyo avatar yako nimecheka sana aisee
Mkuu namba ninaweza kukupa Ila itaondoa usiri kwasababu akiunganisha dot atajua ni mimi.

af Avatar hiyo ndio hali yangu Ile siku amenipanikisha mkuu. Ni Mungu tu sikugongwa na magari sikuile.
 
miaka 20 iliyopita..
nikiwa bado skonga nilikutana na manzi flani usiku nikamsindikiza..

kile kidemu kiliniongopea kwamba pale anaenda ni kwa mamaake mdogo.
kumbe geto kwa lijamaa fulani.

bas kipindi hicho sidhan km mobi fon zilianza.nikawa kila siku nakaa jioni kapite nikasindikize.tukazoeana.
nikaanza na mimi kugonga.
nikafa nikaoza.

to cut long story short.
katika stori kaliniambia kalipata mtoto akafariki.
katika stor akaniambia mtaan kwao wanamlenga sana kwamba anao.
acheni kabisa..nilihisi zirael huyu hapa.

ule mtaa kuna masela najuana nao na walikuwa wananiona naenda enda pale.hata hawakunichana asee!

siku hiyo mdogo wake kbs akanichana kwamba sista wake ana ngoma na anagawa kichizi.yalaaa kile kipindi nilipitia mateso sana.kweli yule manzi sikudumu nae alivuta.ayaaaa ayaaa.nilidhoofika mungu wangu.ndo kipindi kila sehemu ukipita muziki wa feruz niko kitandaniii.
ilifikia nimevurugwa yaan nikiskia dem anao mi namtaka nimpande.nimekata tamaa kbs.

lakini mungu wa ajabu hadi leo nikipima sijawahi kuwa nao.

kuwa na amani bob
 
Back
Top Bottom