Huyu binti atakuja afe vibaya kwa ujinga wake ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ

Hakuna cha mimba hapo unapigwa tu unless uwe una ushahid kua ni kweli alipima akakutwa na ujauzito.Mabinti wengi wanafanya hivyo kwa lengo la kujipatia pesa tu trust me.
Nna hakika na hilo, sijapigwa anakujaga kuwa nayo kweli.

Napima nae kila anaposema siku zake zimempotea
 
Miaka 27 unamuita kabinti?
btw naomba namba zake PM?
 
Biashara na kumwaga nje ni nyeto tu.
Jua huwezi kuzimaliza zote bila kujipush na mkono.

Akiniambia utamwaga nje naahirisha mchezo...sitaki nyeto kwa umri huu
Nje huwa kipengele hasa kama hujafanya sex mda mrefu.

But kama unafanya sex kila baada ya siku 2,3 au 4 ni rahisi kumwaga nje maana unakuwa unafanya kwa ku-relax sana (haumkamii)
 
Story yako inaweza kuwa unapigwa hela afu yeye anatumia njia za kuzuia mimba bila wewe kuambiwa. Hii inanikumbusha mwaka jana nililala na kabint usku mzima afu hatujatumia kinga wala nn ila alisema yupo fresh hawez shika mimba baada ya wiki 2 anasema ana mimba akikazia kweli kweli, nilitoa hela yangu 50000.
 
Anajiharibia tu maisha huyo binti.
Ndiyo maana mimi nimeamua nijikatae maana nikibaki nirakuwa nachangia yeye kujiharibu.

Nimesha mshauri mpaka nimechoka, yaani akikutaga kondom geto kwangu huwa anazichana chana na papuchi ananinyima, nyama nyama ndiyo anakupa, then mwisho wa siku anakuja kuua
 
Nna hakika na nnachokisema.

Tumekuwa tukienda kupima wote na tunaikuta.

Anameza dawa nikiwa nae na blood ina flow nikiwepo, so ha-fake yule
 
Sijui kama na wengine wameona kama nilivyooma Mimi.

Dogo hapendi Kondom, na Mimba anatoa.


Acha kua Fala...Mpime NGOMA Huyo demu.
 
Hapo sawa. Sema utamu ukikolea kuchomoa kila wakati inakua ngumu saana

Ndicho kinacho nitokeaga.

Kuna mda alikuwa akija geto namwambia leo bila ndomu sikugusi na kweli najizima data mpaka asubuhi anaondoka ananambia kwa hiyo umeisusa.

Lakini sasa huwezi kuizira kila siku kuna mda ilibidi niwe nakula hivo hivo nikiamini mimba atapata yeye siyo mimi manaa akili hana anaogopa kutumia kondom alafu haogopi kuua (kutoa mimba)
 
Kaka kama anarisk sana na anakupotezea hela hizo za kutoa na kupima mimba mara kwa mara, tafuta chombo nyingine
 
Kaka kama anarisk sana na anakupotezea hela hizo za kutoa na kupima mimba mara kwa mara, tafuta chombo nyingine
Nimeamua kumkimbia kaka, maana ananifanya niendelee kushiriki dhambi ya mauaji halafu yeye hana hata wasi wasi wakati madhara zaidi ya ki-afya yanakuwa kwake maana anaweza kujiua kizazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ