Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
- Thread starter
- #161
NoJe kukuwa na watu 100 na kati yao wajinga wajinga ni 99 kasoro wewe, je utajiridhisha kuwa wapo sahihi na kujiunga na ujinga wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NoJe kukuwa na watu 100 na kati yao wajinga wajinga ni 99 kasoro wewe, je utajiridhisha kuwa wapo sahihi na kujiunga na ujinga wao?
Uko sawa, lakini pia tulipima before any thing to happen.Boss, Kinga ni kwa ajili yako si yake, mwanaume unaenda unavyotaka si mwanamke anavyotaka. Upo sawa kuachana naye kama hafati makakwa yako.
Utapiga pesa mno.Kinachoniumiza ni hizo bei yaani hapa nimewaza nianze kukagua mzigo wote wa MSD ulioletwa nipakue alafu nilete huko mjini sidhani kama nitakosa milioni zangu
Ametoa mimba zako nne mkuu?Habari wana jamvi.
Niko na mahusiano ya part time (hayana malengo ya ndoa) sema tu tunapunguziana upwiru kwa sababu tunao wapenda wako mbali nasi.
Sasa bhana haka kabinti kana shida moja nayo ni hii "hakataki kabisa kutumia njia yeyote ya uzazi wa mpango kwa kigezo kwamba zina madhara".
Yaani kondomu anasema mafuta yake yana mdhuru, vidonge vya P2, sijui vijiti na contraceptive methods zote anasema zinaua kizazi, mara sijui atapata cancer.
Yaani ki-ufupi nikimwambiaga kuhusu njia za uzazi wa mpango au kuchukua tahadhari kwa njia za kisasa hatakagi kabisa na ana kasirika hapo hapo.
Kwa hiyo tukiwa na upwiru njia pekee tunazotumiaga ni mbili ambazo ni kalenda (kwake yeye) na kumwaga nje (liko juu yangu mimi).
Sasa hizi njia zote mbili zina risk, naweza nikasema kupata mimba kwa kutumia hizi njia ni 50/50, hazina uhakika wa asilimia 100 kabisa.
Mimi huwa najitahidi kumwaga nje nikikutana nae japo mara moja moja huwa nafeli maana nako siyo kazi rahisi ku-divert njia wakati wa utamu.
Kwenye kalenda hilo anajuaga mwenyewe mimi hata sifatiliagi.
Tatizo ni kwamba ghafla bin vuu anakwambia hazioni siku zake, na kimbilio pekee ni MISO PROSTOL.
Sasa hivi imeshatokea four times kila iki nasa ni kukimbilia MISO PROSTOL elfu sabini naliwa kila ikitokea.
Sasa mimi najiuliza huyu binti kati ya kutumia kondomu au njia yeyote ya uzazi wa mpango na sasahivi ashatoa mimba nne tu akiwa na mimi, kupi kuna madhara zaidi ?
Nishamwambia sana lakini hataki kunielewa sasa nilicho amua mimi ni kwamba nianze tu kumkwepa mdogo mdogo maana naona kama ana masiara na afya yake na maisha yake pia.
Unasema mafuta ya kondom yana madhara alafu unaenda kutoa mimba 4 si usenge huu aisee.
Hata leo nimetoka kumwambia kuhusu hilo amenijibu kuwa "hatokaa atumie njia yeyote ya uzazi wa mpango ya kisasa"
Nika mwambia kwa hiyo unavyotoa mimba ndiyo unafurahia na kuona hakuna madhara ? hana majibu.
Nashindwa kuelewa anashindwaje kuwa mjanja na mkubwa almost 27 years old.
NB : Suala la uzazi wa mpango linadhibitiwa na mwanamke zaidi, sisi wanaume ni wa kushirikishwa tu.
Ukifeli wewe mwanamke usidhani mwanaume nitaweza peke yangu, mwanaume akiwa na nyege uwezo wake wa kufikiri hushuka hadi asimia sifuri kabisa.
ExactlyAmetoa mimba zako nne mkuu?
Na wewe unachukulia poa tu?Exactly
Siyo mchumba wangu wala siyo mpenzi wangu wa kudumu.Na wewe unachukulia poa tu?
Nyie ni wauaji...Habari wana jamvi.

Anajiharibia tu maisha huyo binti.Mmh kuna watu majasiri uzazi unavyosumbua watu sahvi binti wa 27 anafanya upuuzi kama huu badae atakuja kumlilia nani akikosa watoto.
Nyie ni wauaji...
Mkuu,Siyo mchumba wangu wala siyo mpenzi wangu wa kudumu.
Tulikutana tu maeneo ya kazi tukakubaliana tuwe tunapozana kwa sababu sote tuna wapenzi wetu ila wako mbali.
Kwa hiyo mimi namhurumia tu yeye kwa abortion zile ki-afya siyo nzuri kwake, na kiimani/Mungu ni dhambi pia.
Mimi nishamshauri sana atumie contraceprive methods ila hataki, sasa mimi nifanyeje, nimeamua nimkimbie tu ili mabalaa yasije kuzidi
Asipoelewa hapa ataelewa wakt tunamsakama marehemuBinti ana HIV anasubiri hadi uupate nae akuache.......acha UKUMA nenda kapime na achana na huyo MPUMBAVH mwenzako
Mkuu imetosha, upwiru hauna akili sana hasa ukishindwa kuudhibiti.Mkuu,
Ya kwanza katoa.
Ya pili katoa.
Ya tatu katoa.
Ya nne katoa.
Umemhurumia kweli au ushafanya huu mchezo wenu sasa?