Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
- Thread starter
- #141
Ki ukweli hata mimi nafsi inanihukumu hivo kabisa mkuu.Wewe na huyo mchepuko wako ni wauaji. Nendeni mkatubu.
Nimefanya dhambi kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ki ukweli hata mimi nafsi inanihukumu hivo kabisa mkuu.Wewe na huyo mchepuko wako ni wauaji. Nendeni mkatubu.
Ukishaona kila wakati una sababu ya kupima pima jua kuna siku tu unachokipima utakiona.Nikujibu tu kwa ufupi kuwa, kipindi naanza mahusiano na huyu binti tulipima kwanza kabla ya kushiriki chochote.
Na tulipima baada ya yeye kusema hapendi kutumia njia za uzazi wa mpango kwa sababu zina madhara.
Lakini pia kila mimba inapo nasaga tunapo enda kwa daktari ku-prove huwa lazima tupime tena afya zetu.
Kwa hiyo usalama wa afya yangu mimi nau-zingatia sana labda tu awe anagawa na kwingine peku peku ndiyo ataweza kuniambukiza, japo najua possibility ya yeye kuni-cheat ni ndogo sana sijawahi kuona hata dalili.
Lakini pia kuhusu kukataa kushiriki ngono na yeye kwa sababu ya yeye kukataa kinga nishafanya sana.
Yaani anakuja kwangu kunyanduliwa lakini akikataa kinga na mimi naigomea papuchi kabisa mpaka asubuhi anaondika sija mkugusa.
Ni wanaume wachache sana wanaweza kuigomea papuchi ila mimi mara kadhaa nilikuwa naweza japo kwa mbinde.
Lakini sasa ukweli ni kwamba siyo mara zote nitaigomea, kuna mda najizira tu kuwa atajua mwenyewe si hataki.
Ndiyo maana mimba ya tatu niligoma kumpa pesa ya MISO nikamwambia mimi siwezi kufanya huo ujinga kila mara kwa uzembe wako, kinga hutaki alafu kutoa mimba ndiyo unaona rahisi, nilimwogesha matusi ya kutosha maana nili-mind sana.
Ikabidi yeye ndiyo atoe hiyo 70k nikamtaftie MISO.
Huyu mwnamke akili yake ndiyo sifuri, hivi imagine mimi mwanaume ndiyo niko tayari kutumia kinga alafu yeye mwanamke ndiyo hataki, wakati kikawaida inakuwaga vise vesa
Nimesha give up tayari mkuu.
Hanichuni.Huyo ni mtoto kama watoto wengine Bado yupo kwenye harakati za tamaa huyo. Aambiliku lakini ungekuwa na mshangazi. Mengi yanajielewa harafu matamu 6x6 yanaambilika.
Ila hivyo vitoto vya 29 kushuka chini tena ambayo havija zaa siku shauri...Bora hata single mothers maisha yamemchapa hawezi kukufanyia uhuni kama huo.
Nahisi huyo dogo anatumia udhaifu wako kukuchuna. Umeshawahi kwenda nae hospital kuthibitisha...?
Na Mwenyezi Mungu awasamehe dhambi zenu ingawa mlijua mlitendalo.Ki ukweli hata mimi nafsi inanihukumu hivo kabisa mkuu.
Nimefanya dhambi kubwa sana
Piga mashangazi bwana hivi vitoto mambo mengi...Hanichuni.
Dawa huwa namletea mimi mambo yakisha haribika.
Nilivoona inazidi mara ya nne nikamwambia mimi sitoi pesa ya dawa utajua mwenyewe maana kama ni kinga wewe ndiyo huwa unakataa.
Ilibidi atoboke yeye anipe 70k ndiyo nikaenda kumletea dawa.
Ila hapo kwenye MSHANGAZI ni kama nime-kuelewa mkuu.
Kwepa Matatizo kabisa na wanawake wa aina hizi:
1. Desperate kwa hela.
2. Wasio na elimu na busara.
3. Wasio na cha kupoteza...
Kuna jamaa yangu ana kesi ya kubaka ambayo itaisha vizuri tu, ila imemzalilisha na uonevu tu, blackmailing.
Mwanamke akishaonyesha tu dalili hizo hqpo juu, hasa uitaji serious wa hela, kaa mbali, ana namna nyingi sana za kukubadili mtaji.
Mbona hata kama wapenzi au wake zetu wako mbali twaweza vumilia upwiru tu na kuwatembelea au kuwaita, tusijiendekeze Wazee.
Mkuu naifikiria toba na kuachana na zinaa mazima tena nioe na kuoa kabisa.Na Mwenyezi Mungu awasamehe dhambi zenu ingawa mlijua mlitendalo.
Sasa kama mhusika kinga hataki anasema zina madhara kwake ila yupo tayari mpime afya kwanza hapo maana yake ni nini.Ukishaona kila wakati una sababu ya kupima pima jua kuna siku tu unachokipima utakiona.
Ushauri: Tumia kinga, UTAKUJA KUAMKA NA LIUTI LIKUUE.
Sema nasikiaga hawa anaweza kukuloga (kukuwekea limbwata) 😁😁😁Piga mashangazi bwana hivi vitoto mambo mengi...
Ukimla vizuri walogwa kweli🤣🤣🤣Sema nasikiaga hawa anaweza kukuloga (kukuwekea limbwata) 😁😁😁
Hii ni mpya mkuu embu "baelezee"Siku unaenda kula mzigo meza paracetamol 4 hutasikia mimba, ukiona hiyo ngumu mwambie yeye ameze na cocker 0
Kinachoniumiza ni hizo bei yaani hapa nimewaza nianze kukagua mzigo wote wa MSD ulioletwa nipakue alafu nilete huko mjini sidhani kama nitakosa milioni zangu[emoji16][emoji16][emoji16]
Sijui, ila zinatoka INDIA.
Zilitengenzwa special kwa maginjwa mengine lakini madaktari wa tanzania wakageuza matumizi [emoji23]
Boss, Kinga ni kwa ajili yako si yake, mwanaume unaenda unavyotaka si mwanamke anavyotaka. Upo sawa kuachana naye kama hafati makakwa yako.Sasa kama mhusika kinga hataki anasema zina madhara kwake ila yupo tayari mpime afya kwanza hapo maana yake ni nini.
Ni uchaguzi wa option mbili tu either niache papuchi au niende vile yeye anavyotaka.
Mimi niliamua kwenda njia ambayo yeye anataka maana kama unavyojua sisi wanaume kuacha papuchi siyo kazi rahisi.
Ila kwa sasa nimeamua nimkimbie maana kwanza nishakitumia vya kutosha nilichokitaka, na nikawa namshauri abadilike awe tayari kutumia kinga lakini bado akawa hataki, sasa kinachofata ni mimi kusepa
Umeanza kuniharibia soko wakati mimi nataka nishushe mzigo hapo Dar wiki hili kutoka MbeyaKhaaa yani huyo anaewauzia hizo miso elfu 70 atakua tajiri sa hii.
Muwe mnakuja nawauzia hizo elfu kumi tu
Umewahi kuua rafiki yangu?Siku unaenda kula mzigo meza paracetamol 4 hutasikia mimba, ukiona hiyo ngumu mwambie yeye ameze na cocker 0
Je kukuwa na watu 100 na kati yao wajinga wajinga ni 99 kasoro wewe, je utajiridhisha kuwa wapo sahihi na kujiunga na ujinga wao?Ni sahihi, lakini angalia kizazi tunacho ishi