Huyu binti atakuja afe vibaya kwa ujinga wake ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ

Boss, Kinga ni kwa ajili yako si yake, mwanaume unaenda unavyotaka si mwanamke anavyotaka. Upo sawa kuachana naye kama hafati makakwa yako.
Uko sawa, lakini pia tulipima before any thing to happen.

Kinga anayoiamini yeye ni kupima kwanza kabla nyama hazija gusana
 
Ametoa mimba zako nne mkuu?
 
Na wewe unachukulia poa tu?
Siyo mchumba wangu wala siyo mpenzi wangu wa kudumu.

Tulikutana tu maeneo ya kazi tukakubaliana tuwe tunapozana kwa sababu sote tuna wapenzi wetu ila wako mbali.

Kwa hiyo mimi namhurumia tu yeye kwa abortion zile ki-afya siyo nzuri kwake, na kiimani/Mungu ni dhambi pia.

Mimi nishamshauri sana atumie contraceprive methods ila hataki, sasa mimi nifanyeje, nimeamua nimkimbie tu ili mabalaa yasije kuzidi
 
Nyie ni wauaji...
 
Mkuu,

Ya kwanza katoa.

Ya pili katoa.

Ya tatu katoa.

Ya nne katoa.

Umemhurumia kweli au ushafanya huu mchezo wenu sasa?
 
Hakuna cha mimba hapo unapigwa tu unless uwe una ushahid kua ni kweli alipima akakutwa na ujauzito.Mabinti wengi wanafanya hivyo kwa lengo la kujipatia pesa tu trust me.
 
Biashara na kumwaga nje ni nyeto tu.
Jua huwezi kuzimaliza zote bila kujipush na mkono.

Akiniambia utamwaga nje naahirisha mchezo...sitaki nyeto kwa umri huu
 
"ishini nao kwa akili"

Hivi mna hakika haya mafurushi ya kizazi hiki yana hiyo akili kweli๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†
Hii ingredient kuna uwezekano imepunguzwa au haiwekwi tena aisee!!
 
Mkuu,

Ya kwanza katoa.

Ya pili katoa.

Ya tatu katoa.

Ya nne katoa.

Umemhurumia kweli au ushafanya huu mchezo wenu sasa?
Mkuu imetosha, upwiru hauna akili sana hasa ukishindwa kuudhibiti.

Ila kwa kiasi kikubwa nampa lawama mwanamke, anajua kabisa kabisa matokeo ya kunyanduana bila kinga ni Mimba lakini bado kinga anakataa kuwa zina madhara.

Aninyime basi papuchi kwa usalama wa mimba zisizo tarajiwa, bado haninyimi ananiletea kila wiki, ikinasa anasema yu lugha rahisi "kalete miso tuje tu-flash" yaani hata hajutii huyu binti sijui ni mngoni wa kizazi kipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ