Huyu binti atanifanya niwe masikini

Sawa TAJIRI, Cha kukushauri chunga utajiri wako asije kukufanya uwe masikini
 
Asubuhi, akarudi huku anamajeraha mkononi; kwa sababu alipata ajali ya boda boda usiku wakati akirudi nyumbani. Wasamaria wema, wakambeba na kumpeleka hospitali kwa sababu alikuwa amezimia.

.

Hapa alikupiga kitu kizito,
Kazichanga karata zake vizur Sana.
Hii mbinu alotumia niliwai simuliwa mahali
 
Panga safar ya kikazi mwambie kuna safar ya dharula chukua kabegi kako paki vinguo viwil vitatu alafu asubui sana mwite boda wako afanye aje akuchukue na ww mda huo huo apaki vinguo vyake asepe alafu ukiona kashapotea unarud zako geto maisha yanasonga
 
Nashukuru sana kwa huu ushauri
 
Kwahiyo hospitali walimruhusu arudi nyumbani bila kulipa bill? Umesema alijisahau kurudi nyumbani na wakati huohuo unasema alipata ajali. Ajali na kujisahau vinaingilianaje
 
Siyo..."HUYU BINTI"...Andika ..."HUYU MWENZANGU,MCHUMBA WANGU,MKE AMBAYE SIJAFUNGA NAYE NDOA"...Vitu kama hivyo.Halafu,kaa pamoja naye muelimishane kuhusu bajeti,matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima na namna ya kujidhibiti kulingana na majukumu katika umri.
 
Kwahiyo hospitali walimruhusu arudi nyumbani bila kulipa bill? Umesema alijisahau kurudi nyumbani na wakati huohuo unasema alipata ajali. Ajali na kujisahau vinaingilianaje
Kama mkandarasi mwenye mradi wa bilioni anafanya kazi kwa mali kauli; inashindikana vipi kwa maeneo mengine kutoa huduma ya namna hiyo? Tujifunze kusoma makala au kutembelea maeneo mbalimbali, ili kupata ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…