Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #81
Bila kufanya hivyo; mtaona dunia chungu, kwa sababu kila me atakuwa na ke mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kufanya hivyo; mtaona dunia chungu, kwa sababu kila me atakuwa na ke mmoja.
Ni kama soda. Haiwezi kukaa mwilini milele.Hivi yale mafuta ni milele au ni kwa kipindi kile tunasoma tu.
😂😂😂 nimempa watoto wakutosha, yuko bize analea.Naye wanajimegea🏃🏃🏃
Sawa daktarWalipambana kuokoa uhai kwanza; wapo wanaojali uhai kwanza, pesa inafuata mkuu
Nb: alijitambulisha ni mgeni wa nani.
Kwa sifa zake ulizo zisema hapa hilo ni guberi la mjini, utajijuaNimetembelewa na mdada mrembo (pisi kali kweli), kwa sasa anakaribia wiki kukaa hapa kwangu. Anategemea by jumapili ijayo aweze kuondoka.
Tangu amefika kwangu, hela imekuwa haitulii. Kila siku hela inatoka tu, na mbaya zaidi anaujauzito wangu unaokaribia mwezi.
Leo atakuambia, naomba hela ya kusafisha kucha, mara hela ya kunyoosha wigi, mara nipe hela kidogo nitume nyumbani, mara hela ya mafuta ya kung'arisha ngozi yanagharimu elfu 60, mara nipe hela nikanunue chakula, na akishanunua hicho chakula hali; mpaka nyumba imekuwa na mabaki ya vyakula ambavyo havijatumika.
Mbaya zaidi, majuzi aliniomba twende 'club' kwa sababu ni mtu anayependa sana mziki; kwa upande wangu nikawa sijisikii vizuri, nikamwambia siwezi kwenda. Akanilazimisha, ikabidi nimruhusu yeye mwenyewe aende.
Alipoenda huko kwenye starehe akajisahau kurudi nyumbani; nikawa nampigia simu mpaka saa saba usiku hajarudi; kwa hasira, nikachukua nguo zake nikaanza kuzichana chana, kwa kuhisi labda yuko na mtu mwingine.
Asubuhi, akarudi huku anamajeraha mkononi; kwa sababu alipata ajali ya boda boda usiku wakati akirudi nyumbani. Wasamaria wema, wakambeba na kumpeleka hospitali kwa sababu alikuwa amezimia.
Baada ya kunipa hayo maelezo; ilibidi niende hospitali pamoja na kulipa bill. Lakini roho ikawa inaniuma, kwa kusababisha uharibifu kwenye nguo zake.
Ikabidi niingie gharama ya kumnunulia mavazi upya; hapa natamani hata leo aondoke, kutokana na hasara anazonipa.
Inafanyika mkuu😃 😃 😃 😃 😃 😃 eti ajali na kujisahau vinaingilianaje... hili la kuruhusiwa bila kulipa bill lina ukakasi
Hana utulivu; brazilian hair ndio ziko kichwaniKwa sifa zake ulizo zisema hapa hilo ni guberi la mjini, utajijua
Utaweza kuishi na mke kweli wewe?Nimetembelewa na mdada mrembo (pisi kali kweli), kwa sasa anakaribia wiki kukaa hapa kwangu. Anategemea by jumapili ijayo aweze kuondoka.
Tangu amefika kwangu, hela imekuwa haitulii. Kila siku hela inatoka tu, na mbaya zaidi anaujauzito wangu unaokaribia mwezi.
Leo atakuambia, naomba hela ya kusafisha kucha, mara hela ya kunyoosha wigi, mara nipe hela kidogo nitume nyumbani, mara hela ya mafuta ya kung'arisha ngozi yanagharimu elfu 60, mara nipe hela nikanunue chakula, na akishanunua hicho chakula hali; mpaka nyumba imekuwa na mabaki ya vyakula ambavyo havijatumika.
Mbaya zaidi, majuzi aliniomba twende 'club' kwa sababu ni mtu anayependa sana mziki; kwa upande wangu nikawa sijisikii vizuri, nikamwambia siwezi kwenda. Akanilazimisha, ikabidi nimruhusu yeye mwenyewe aende.
Alipoenda huko kwenye starehe akajisahau kurudi nyumbani; nikawa nampigia simu mpaka saa saba usiku hajarudi; kwa hasira, nikachukua nguo zake nikaanza kuzichana chana, kwa kuhisi labda yuko na mtu mwingine.
Asubuhi, akarudi huku anamajeraha mkononi; kwa sababu alipata ajali ya boda boda usiku wakati akirudi nyumbani. Wasamaria wema, wakambeba na kumpeleka hospitali kwa sababu alikuwa amezimia.
Baada ya kunipa hayo maelezo; ilibidi niende hospitali pamoja na kulipa bill. Lakini roho ikawa inaniuma, kwa kusababisha uharibifu kwenye nguo zake.
Ikabidi niingie gharama ya kumnunulia mavazi upya; hapa natamani hata leo aondoke, kutokana na hasara anazonipa.
Ndio napambana kujihami mkuuKijana mpumbavu anaangamia,soon utakanyaga umeme! Stuka kijana.
Kwa nini mkuu?Utaweza kuishi na mke kweli wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23]Namna ya kumuambia aende kwao ndio tatizo, nitaanzia wapi, nitaonekana namfukuza. Kwa sababu amesema jumapili anaondoka, ndio namsubiria tu, akiondoka tu, napoteza mawasiliano.
Nitakuwa namuhudumia akiwa kwa mama yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Na mtoto je?
Mwanamke hachungwiNi hospitali gani sasa yenye ukichaa kiasi cha kumruhusu mgonjwa akamwite mtu wa kulipia bili baada ya kutibiwa?
Wewe ulikuwa na akili timamu kipindi unamruhusu aende bar(club) akashikweshikwe?
Hata nilipokuwa narudi likizo, bado nyumbani waliniwekea mafuta ya taa mengi kwenye mboga kuzidi yale ya shuleni!Hata sisi tulikuwa tunawekewa mkuu
😂 😂 😂Hata nilipokuwa narudi likizo, bado nyumbani waliniwekea mafuta ya taa mengi kwenye mboga kuzidi yale ya shuleni!
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mgonjwa karuhusiwa kwenda home bila kulipa bill?? [emoji2][emoji2]....unatuonaje mzee..?
Akili mtu wangu akili.Huyu ni mchepuko, ndio maana simpi ukaribu wa kutosha; nilipenda kuzaa naye kwa sababu ya muonekano wake kuwa mzuri tu.
Tusiwe washamba, Hujawahi kuona mtu analala hotel pamoja na kupata huduma zote; baada ya kupata huduma, anapelekewa bill, na si lazima alipe siku hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Umefanya numerudia kusoma story kwa umakini kwa mara ya pili!