Huyu binti atanifanya niwe masikini

Huyu binti atanifanya niwe masikini

Kwahiyo hospitali walimruhusu arudi nyumbani bila kulipa bill? Umesema alijisahau kurudi nyumbani na wakati huohuo unasema alipata ajali. Ajali na kujisahau vinaingilianaje
😃 😃 😃 😃 😃 😃 eti ajali na kujisahau vinaingilianaje... hili la kuruhusiwa bila kulipa bill lina ukakasi
 
Panga safar ya kikazi mwambie kuna safar ya dharula chukua kabegi kako paki vinguo viwil vitatu alafu asubui sana mwite boda wako afanye aje akuchukue na ww mda huo huo apaki vinguo vyake asepe alafu ukiona kashapotea unarud zako geto maisha yanasonga
Nimetumia hii mbinu, ameweza kuondoka
 
Siku vichocheo vikiondolewa kwenye mwili wa mwanaume, taasisi ya ndoa itakufa siku hiyo hiyo.
Heri yetu sisi tuliosoma shule za boys. Tulikuwa tunawekewa 'mafuta ya taa' kwenye maharage kwa hiyo miili 'haitusumbui' [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi yale mafuta ni milele au ni kwa kipindi kile tunasoma tu.
 
Back
Top Bottom