Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #101
Ushauri mkuu?Akili mtu wangu akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mkuu?Akili mtu wangu akili.
Wanawake wajinga ukimpa mimba badala ya kufurahi anaenda kuwa mama..yeye anakugeuza kitega uchumiUlivyokula kimasihara hukutwambia, sasa ni zamu yake kulamba asali
Sasa mnaogopaga nini[emoji23]Aa wapi, na bi mkubwa akijua? Akajifungulie kwake, huduma zingine atazipata huko huko.
Kwanini?Bila kufanya hivyo; mtaona dunia chungu, kwa sababu kila me atakuwa na ke mmoja.
Nimetembelewa na mdada mrembo (pisi kali kweli), kwa sasa anakaribia wiki kukaa hapa kwangu. Anategemea by jumapili ijayo aweze kuondoka.
Tangu amefika kwangu, hela imekuwa haitulii. Kila siku hela inatoka tu, na mbaya zaidi anaujauzito wangu unaokaribia mwezi.
Leo atakuambia, naomba hela ya kusafisha kucha, mara hela ya kunyoosha wigi, mara nipe hela kidogo nitume nyumbani, mara hela ya mafuta ya kung'arisha ngozi yanagharimu elfu 60, mara nipe hela nikanunue chakula, na akishanunua hicho chakula hali; mpaka nyumba imekuwa na mabaki ya vyakula ambavyo havijatumika.
Mbaya zaidi, majuzi aliniomba twende 'club' kwa sababu ni mtu anayependa sana mziki; kwa upande wangu nikawa sijisikii vizuri, nikamwambia siwezi kwenda. Akanilazimisha, ikabidi nimruhusu yeye mwenyewe aende.
Alipoenda huko kwenye starehe akajisahau kurudi nyumbani; nikawa nampigia simu mpaka saa saba usiku hajarudi; kwa hasira, nikachukua nguo zake nikaanza kuzichana chana, kwa kuhisi labda yuko na mtu mwingine.
Asubuhi, akarudi huku anamajeraha mkononi; kwa sababu alipata ajali ya boda boda usiku wakati akirudi nyumbani. Wasamaria wema, wakambeba na kumpeleka hospitali kwa sababu alikuwa amezimia.
Baada ya kunipa hayo maelezo; ilibidi niende hospitali pamoja na kulipa bill. Lakini roho ikawa inaniuma, kwa kusababisha uharibifu kwenye nguo zake.
Ikabidi niingie gharama ya kumnunulia mavazi upya; hapa natamani hata leo aondoke, kutokana na hasara anazonipa.
ha ha ha ataambulia kupigwa sound tuWanawake wajinga ukimpa mimba badala ya kufurahi anaenda kuwa mama..yeye anakugeuza kitega uchumi
Zaidi ya asilimia 50 naweza kuaminiNaona unaishi na kibaka mimba ni yako kweli?
Wanaume wachache sana, ukimpata, mlinde kama mboni ya jicho lako
Utulivu na amani kwenye ndoa ni muhimu zaidi.
Hivi utaanzaje kumwacha dem wako aende club wewe ulale home?ha ha ha ataambulia kupigwa sound tu
Nimekuelewa,,,kwahiyo huyo mchepuko inabidi akulinde.Wanaume wachache sana, ukimpata, mlinde kama mboni ya jicho lako
Utulivu unaupataje,hivyo mwenyewe haujatulia???Utulivu na amani kwenye ndoa ni muhimu zaidi.
Ni mchepuko mkuuHivi utaanzaje kumwacha dem wako aende club wewe ulale home?
Inabidi afanye hivyo, hakuna namna; akinipa gharama ambazo ziko juu ya uwezo wangu, nakimbia.
😂 😂 😂 sijaelewa hiki kipengele
Lakini umefikia kwakoNi mchepuko mkuu
Hawana huruma ata kidogo, akikooa kidogo tu, anataka hela.Ushasema n pisi kali... Igaramikie tu mkuu, no way.
Kama unataka pesa zitulie tafta akina mwahija, hao kina Nancy wana mambo mengi
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inabidi afanye hivyo, hakuna namna; akinipa gharama ambazo ziko juu ya uwezo wangu, nakimbia.