Huyu binti atanifanya niwe masikini

Naona unaishi na kibaka mimba ni yako kweli?
 
Ushasema n pisi kali... Igaramikie tu mkuu, no way.

Kama unataka pesa zitulie tafta akina mwahija, hao kina Nancy wana mambo mengi
 
Ushasema n pisi kali... Igaramikie tu mkuu, no way.

Kama unataka pesa zitulie tafta akina mwahija, hao kina Nancy wana mambo mengi
Hawana huruma ata kidogo, akikooa kidogo tu, anataka hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…