the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
.
Last edited:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mlikubaliana mkopo,mlipe hela yake,na usiwe unaongelea jambo la pesa kama unaona hakujibu. Cha msingi komaa umlipe hela yake,kisha uone atasemaje.Je wadau niendele kukausha mpk aniulize au nimrudishie pesa yake japo nakumbuka kauli yake “WEWE USIJALI MAISHA NI KUSAIDIA UTU NI BORA ZAIDI KULIKO PESA KUWA NA AMANI WALA USIWAZE”
Kama mlikubaliana mkopo,mlipe hela yake,na usiwe unaongelea jambo la pesa kama unaona hakujibu. Cha msingi komaa umlipe hela yake,kisha uone atasemaje.
Acha kutusumbua rudisha hela za watu!
Mrudishie pesa yake siyo kila mtu anaweza kukumbushia pesa yake.
Ulitaka 40K amekupa 200K ungekua muungwana siku moja mbele ungerudisha 150K na kumuambia umepunguza deni. Badala yake umechikichia yote na sasa hivi unajifanya unataka kusamehewa unamcheki kila siku kushukuru na kujiongelesha utamrudishia ili iweje? Ili aseme kaa nayo?
Siyo tabia nzuri, rudisha pesa yake.

Mkuu mkopo si hiari. Inakupasa urudishe.
Kama kauli yako ya mwanzoni kabisa ilikuwa kumrudishia basi fanya hivyo.
Anaposema usijali maisha ni kusaidiana, hata Mkopo pia ni msaada. Haimaanishi kakupa bure Mkuu.
unafeli wapi ndugu yangu rudisha pesa ya watu usitake mpaka akutamkie nimekuachia hizo pesa , unampelekeaje mada za kurudisha pesa wakati huna, usitafute huruma ili akuchie! unachopaswa kufanya ni kumkabizi pesa zake sio kuleta bla bla ! ungekua karibu ningekulamba ata makofi, acha ujinga kabizi mzigo wa watu achukue asichukue hio ni juu yake
Akili kumkichwaMrudishie pesa yake siyo kila mtu anaweza kukumbushia pesa yake.
Ulitaka 40K amekupa 200K ungekua muungwana siku moja mbele ungerudisha 150K na kumuambia umepunguza deni. Badala yake umechikichia yote na sasa hivi unajifanya unataka kusamehewa unamcheki kila siku kushukuru na kujiongelesha utamrudishia ili iweje? Ili aseme kaa nayo?
Siyo tabia nzuri, rudisha pesa yake.
Rudisha pesa yake mkuu,mm mwenyewe nikimkopesha mtu huwa sitaki anishukuru sana maana mwengne ukikubali shukrani yake na kusema "karibu tena" kama alivyfanya huyo dada basi wengi huwa hawarudishi na kuchukulia kama walipewa tu na si mkopo tena!
Mkuu nikama unahisi au unataka akusamehe na usirudishe sasa nikuulize huko kwa msg huwa unaandika nn kuhusu hyo ela? hakujibu kwasababu anakushangaa yeye hataki stori kuhsu ela anataka vitendo ambavyo ni wewe kulipa. Wewe ni miongoni mwa watu wagumu kulipa deni na umekuja hapa tukupe moyo kwamba usilipe haitaji etc. Hapana blaza lipa deni lipa pesa ya watu.
Fanya juu chini urudishe hela.
Huwa sipendi watu wenye maneno meeengi
We lipa hela kwanza uishi kwa amani
Sio kuishi kwa kujishtukia