Huyu binti kiukweli nashindwa kumuelewa baada ya kunipa mkopo wa pesa

Kitu ambacho sikihitaj hapa ni matusi tu hujaitwa hapa sitak nifungue mdomo wangu juu yako tafadhal itifaki izingatiwe
We moumbavu tu. Ganda la ndizi mtelezo. Umejitafutia visababu mpk umesamehewa. Siwez kuwa proud either na rafiki, kaka, mchumba ama mume wa kariba yako. Ungekua na nia ya kumrejeshea ungeshafanya zamani. Wewe ni dhulumati. Pumbavu wewe
 
Hivi umekopa pesa ya mtu halafu unamuuliza, nikulipe? Upuuzi na ush*zi mtupu
 
Unapokopa hela ya mtu wakati ukiwa na shida genuine then ukapitisha muda mliokubaliana kulipa huku ukifanya mambo yako na unasubiri aliyekukopa ndio akudai, jua kabisa wewe sio muungwana, huna ustaarabu na ni mpuuzi flani hivi.

Watu wengine mpaka wanaamua kumkopa mtu pesa sio kwamba wana pesa nyingi au hizo walizokupa wanawana kazi nazo, bali huwa ni kuthamini utu na uhusiano wenu. Surprisingly watu wengi mno sio wastaarabu kabisa.

Sasa ona huyu nae mpaka amepata muda wa kuja kupost JF badala ya kulipa deni la watu. Tena eti anashangaa hadaiwi. Ubinaadamu ni kazi kwelikweli.
 
Wakuu nimeamua kuleta update kwenu mm sina tabia ya dhulma ila nimesamehewa deni kwahy na bahat nzur nilimrecord kipind naongea nae ila jins ya kuieka hapa nmeshindwa
Ulitaka kudhulumu wewe, m mkiongea acha kushukuru shukuru kila mda kama omba omba
 
We moumbavu tu. Ganda la ndizi mtelezo. Umejitafutia visababu mpk umesamehewa. Siwez kuwa proud either na rafiki, kaka, mchumba ama mume wa kariba yako. Ungekua na nia ya kumrejeshea ungeshafanya zamani. Wewe ni dhulumati. Pumbavu wewe
Kasamehewa wapi huyo kaamu kumdhulumu binti wa watu mpole,. Huyo binti hawezi kuja kumkopesha mtu mwingine tena kwa hii dhuluma aliyoifanya huyu mbwiga
 
[emoji23][emoji23][emoji23] halaf kanataka kunishupazia shingo eti... akifungua mdomo sijui kitanipata nn. Afungue tufunfuliane tu. Kajinga kweli.
 
Wakuu nimeamua kuleta update kwenu mm sina tabia ya dhulma ila nimesamehewa deni kwahy na bahat nzur nilimrecord kipind naongea nae ila jins ya kuieka hapa nmeshindwa
.kumbe uwezo wa kulipa hukua nao na ulikua una mpiga kalenda sana
 
Back
Top Bottom