Huyu binti kiukweli nashindwa kumuelewa baada ya kunipa mkopo wa pesa

Wasalam Jamiya!

Kuna binti mmoja Namchukulia kama rafiki tulijuana toka arusha ni jirani tunakaa mtaa mmoja japo mm sio mwenyej sana wa huko huwa naenda kusalimia familia

Sas dhumuni la kuja hapa nakumbuka mwez wa 5 tar 17 nilipata matatizo ya kifamilia kidogo nikawa niko vibaya kipesa sijawai kumkopa na ninaogopa kumkopa hela mwanamke lkn mbele ya shida no way ikabid nimvutie waya nikamuelezea mida ya sa2 usiku niko hosptl ninamgonjwa wangu.

Ajabu bint wa watu alirespond vzr na tofaut nilivyotegemea akanifata mpk nilipo hosptl tukaenda ATM akanipa pesa taslimu cash 200,000(lak 2) wakati mimi hapo niliomba aniongeze 20,000 au 40,000 kiukwel nilipigwa na shock saaaana

Bhas nikafanya mambo yangu nikafanikiwa matatizo yakaisha nilimshukuru Mola na kumshukur binti wa watu kila wakat na hunijb “usijal karibu tena” nikamuahidi pesa yake nitajitahidi nimrudishie lkn nikiongelea mambo ya pesa yake hajibu hiyo msg yeye atajibu mambo mengn tu

MaJuzi tena nikamtemxt kumjulia hali na kumshukuru tena kwamaan wema wake utadumu kwangu milele na milele lkn nikagusia tena mambo ya pesa hakujib hiyo msg hadi nikawa najiuliza kwanin huyu mtu kuhusu pesa yake hatak kunijbu!!!

Na ninakumbuka alishakujaga kwangu 2020 january hapo kabla sijaoa nilimtreat vzr kwa chakula safi sana na kumkarimu vzr mno na alienjoy movie kali ya SHANARA tulipiga stor nyingi sana na sikumsumbua kuhusu mambo mbususu sikupiga kabisa mzigo kwamaan jinsi alivyojieka kumuingia inataka akili na ni mtu smart sana kwahy sikutaka tuvunjiane heshima japo nilitaman kumla lkn roho iligoma kuharibu urafiki wa ujirani mwema.

Sasa nabaki kujiuliza huyu mdada vipi kuhusu pesa yake mpk sasa hajanidai na nikimuambia kuhusu pesa yake hajibu hiyo msg atanizuga tu kwa salam bado niko njia panda sielewe nifanye nini sina WEMA mkubwa niliomfanyiaga zaidi ya UKARIMU tu.

POPOTE ALIPO ALLAH AM’BARIKI SANA SITOWEZA KUMSAHAU NA KUSAHAU FADHILA ZAKE MILELE NA MILELE[emoji3590][emoji1374]

Je wadau niendele kukausha mpk aniulize au nimrudishie pesa yake japo nakumbuka kauli yake “WEWE USIJALI MAISHA NI KUSAIDIA UTU NI BORA ZAIDI KULIKO PESA KUWA NA AMANI WALA USIWAZE”
Rudisha pesa na acha kuwa na tamaa za kijinga, ahadi ni deni au mpaka akudai.Acha uswahili rudisha pesa ya watu.
 
Uungwana ni kurudisha pesa. Inawezekana pia anakutaka kwa jinsi ulivyomkarimu January 2020 lakini kama unataka kumvua picchu usiingie kichwa kichwa ukaharibu urafiki wenu. Wahuni wanasema akili mkichwa.

Lipa hela bro. Atajibu sms zako
 
Kushukurusl shukuru kilamala ni ujinga

Kwakuwa hujui au unafkr ni shida unayojua ww,mzee labd nikuambie hilo jambo lilikuwa ni hatar inaeza pelekea hata mtu kufa kwahyo siku nyingn usionge upumbavu wa namna hiyo au ulifikr nilipewa hela ya kula au ya kuhonga!!??
 
Wanaume wameshaisha aisee...
How old are you young boy?

Ukimya wake maybe unafikiri anakutaka?
Ukikya wake unadhani hakumbuki kama anakudai?
Kujiongelesha na yeye kukupotezea juu ya suala hilo umefikiri amesamehe labda? Ulimfata mwenyewe na ukaomba msaada na ukaupata kwa mkopo. Unataka ufatwe tena uombwe kurejesha? Huna hata aibu? Eti nimrudishie ama nikaushe? Seriously? Manenooo mengiii ukitafyta huruma usamehewe ama?
 
Uungwana ni kurudisha pesa. Inawezekana pia anakutaka kwa jinsi ulivyomkarimu January 2020 lakini kama unataka kumvua picchu usiingie kichwa kichwa ukaharibu urafiki wenu. Wahuni wanasema akili mkichwa.

Sina dhamira ya kumdhulum wala sina dhamira ya kumla japo nataman kumla ila sitokaa kuthubutu kumwambia mm ni mwanaume mtoto mkali yyt lazima nimtaman
 
Wanaume wameshaisha aisee...
How old are you young boy?

Ukimya wake maybe unafikiri anakutaka?
Ukikya wake unadhani hakumbuki kama anakudai?
Kujiongelesha na yeye kukupotezea juu ya suala hilo umefikiri amesamehe labda? Ulimfata mwenyewe na ukaomba msaada na ukaupata kwa mkopo. Unataka ufatwe tena uombwe kurejesha? Huna hata aibu? Eti nimrudishie ama nikaushe? Seriously? Manenooo mengiii ukitafyta huruma usamehewe ama?

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza umeongea point ambayo haina mashiko hapo mambo ya uwanaume unakuja vp!!ww kaa kmy tu ila kitu km hujaelewa bhas
 
Kwakuwa hujui au unafkr ni shida unayojua ww,mzee labd nikuambie hilo jambo lilikuwa ni hatar inaeza pelekea hata mtu kufa kwahyo siku nyingn usionge upumbavu wa namna hiyo au ulifikr nilipewa hela ya kula au ya kuhonga!!??
Hata tatizo lihusu kufa ukoo wako mzima Still kushukuru shukuru ni uzwazwa na haipendezi kwa mtu timamu Shukuru siku ya kwanza hapo Hospital, ×2 ukichati nae inatosha endelea na story nyengine sio kila day ujinga.
 
Wasalam Jamiya!

Kuna binti mmoja Namchukulia kama rafiki tulijuana toka arusha ni jirani tunakaa mtaa mmoja japo mm sio mwenyej sana wa huko huwa naenda kusalimia familia

Sas dhumuni la kuja hapa nakumbuka mwez wa 5 tar 17 nilipata matatizo ya kifamilia kidogo nikawa niko vibaya kipesa sijawai kumkopa na ninaogopa kumkopa hela mwanamke lkn mbele ya shida no way ikabid nimvutie waya nikamuelezea mida ya sa2 usiku niko hosptl ninamgonjwa wangu.

Ajabu bint wa watu alirespond vzr na tofaut nilivyotegemea akanifata mpk nilipo hosptl tukaenda ATM akanipa pesa taslimu cash 200,000(lak 2) wakati mimi hapo niliomba aniongeze 20,000 au 40,000 kiukwel nilipigwa na shock saaaana

Bhas nikafanya mambo yangu nikafanikiwa matatizo yakaisha nilimshukuru Mola na kumshukur binti wa watu kila wakat na hunijb “usijal karibu tena” nikamuahidi pesa yake nitajitahidi nimrudishie lkn nikiongelea mambo ya pesa yake hajibu hiyo msg yeye atajibu mambo mengn tu

MaJuzi tena nikamtemxt kumjulia hali na kumshukuru tena kwamaan wema wake utadumu kwangu milele na milele lkn nikagusia tena mambo ya pesa hakujib hiyo msg hadi nikawa najiuliza kwanin huyu mtu kuhusu pesa yake hatak kunijbu!!!

Na ninakumbuka alishakujaga kwangu 2020 january hapo kabla sijaoa nilimtreat vzr kwa chakula safi sana na kumkarimu vzr mno na alienjoy movie kali ya SHANARA tulipiga stor nyingi sana na sikumsumbua kuhusu mambo mbususu sikupiga kabisa mzigo kwamaan jinsi alivyojieka kumuingia inataka akili na ni mtu smart sana kwahy sikutaka tuvunjiane heshima japo nilitaman kumla lkn roho iligoma kuharibu urafiki wa ujirani mwema.

Sasa nabaki kujiuliza huyu mdada vipi kuhusu pesa yake mpk sasa hajanidai na nikimuambia kuhusu pesa yake hajibu hiyo msg atanizuga tu kwa salam bado niko njia panda sielewe nifanye nini sina WEMA mkubwa niliomfanyiaga zaidi ya UKARIMU tu.

POPOTE ALIPO ALLAH AM’BARIKI SANA SITOWEZA KUMSAHAU NA KUSAHAU FADHILA ZAKE MILELE NA MILELE[emoji3590][emoji1374]

Je wadau niendele kukausha mpk aniulize au nimrudishie pesa yake japo nakumbuka kauli yake “WEWE USIJALI MAISHA NI KUSAIDIA UTU NI BORA ZAIDI KULIKO PESA KUWA NA AMANI WALA USIWAZE”
Kwanza inaonyesha wewe ni mrushi, pesa unatakiwa umtumie kwenye sim Yake na ya kutolea ili arudishe pesa zake benk na kumpigia sim kumshukuru, nyie ndio mnaosabisha watu wasikopeshwe, shukurani ya punda siku zote ni mateke
 
Mkuu nakushauri mlipe hiyo hela yake tena siku unamlipa wala usimuulize kuwa sasa ndio nataka nikutumie ile hela yako... ..Wewe mtumie kabisa ndio umuulize vipi muamala ushauona?
 
Wasalam Jamiya!

Kuna binti mmoja Namchukulia kama rafiki tulijuana toka arusha ni jirani tunakaa mtaa mmoja japo mm sio mwenyej sana wa huko huwa naenda kusalimia familia

Sas dhumuni la kuja hapa nakumbuka mwez wa 5 tar 17 nilipata matatizo ya kifamilia kidogo nikawa niko vibaya kipesa sijawai kumkopa na ninaogopa kumkopa hela mwanamke lkn mbele ya shida no way ikabid nimvutie waya nikamuelezea mida ya sa2 usiku niko hosptl ninamgonjwa wangu.

Ajabu bint wa watu alirespond vzr na tofaut nilivyotegemea akanifata mpk nilipo hosptl tukaenda ATM akanipa pesa taslimu cash 200,000(lak 2) wakati mimi hapo niliomba aniongeze 20,000 au 40,000 kiukwel nilipigwa na shock saaaana

Bhas nikafanya mambo yangu nikafanikiwa matatizo yakaisha nilimshukuru Mola na kumshukur binti wa watu kila wakat na hunijb “usijal karibu tena” nikamuahidi pesa yake nitajitahidi nimrudishie lkn nikiongelea mambo ya pesa yake hajibu hiyo msg yeye atajibu mambo mengn tu

MaJuzi tena nikamtemxt kumjulia hali na kumshukuru tena kwamaan wema wake utadumu kwangu milele na milele lkn nikagusia tena mambo ya pesa hakujib hiyo msg hadi nikawa najiuliza kwanin huyu mtu kuhusu pesa yake hatak kunijbu!!!

Na ninakumbuka alishakujaga kwangu 2020 january hapo kabla sijaoa nilimtreat vzr kwa chakula safi sana na kumkarimu vzr mno na alienjoy movie kali ya SHANARA tulipiga stor nyingi sana na sikumsumbua kuhusu mambo mbususu sikupiga kabisa mzigo kwamaan jinsi alivyojieka kumuingia inataka akili na ni mtu smart sana kwahy sikutaka tuvunjiane heshima japo nilitaman kumla lkn roho iligoma kuharibu urafiki wa ujirani mwema.

Sasa nabaki kujiuliza huyu mdada vipi kuhusu pesa yake mpk sasa hajanidai na nikimuambia kuhusu pesa yake hajibu hiyo msg atanizuga tu kwa salam bado niko njia panda sielewe nifanye nini sina WEMA mkubwa niliomfanyiaga zaidi ya UKARIMU tu.

POPOTE ALIPO ALLAH AM’BARIKI SANA SITOWEZA KUMSAHAU NA KUSAHAU FADHILA ZAKE MILELE NA MILELE[emoji3590][emoji1374]

Je wadau niendele kukausha mpk aniulize au nimrudishie pesa yake japo nakumbuka kauli yake “WEWE USIJALI MAISHA NI KUSAIDIA UTU NI BORA ZAIDI KULIKO PESA KUWA NA AMANI WALA USIWAZE”
Marafiki wa hivyo wapo sana kwenye shda haulizi na kwenye deni haulizi inshort hapendi ujihisi vibaya kwa deni alilokukopa

kwa upande wangu ninao kama 5 hakika ni kama utajiri kwangu kiasi cha kwamba nishaweka nadhiri wakinililia shida ntauza hata kirikuu chngu niwasaidie japo nmesubiria wapate shida now mwaka wa 8 shida napata mimi tu
 
Sina dhamira ya kumdhulum wala sina dhamira ya kumla japo nataman kumla ila sitokaa kuthubutu kumwambia mm ni mwanaume mtoto mkali yyt lazima nimtaman
"Je wadau niendele kukausha mpk aniulize au nimrudishie pesa yake"

Uungwana ni kurejesha kwa wakati.

Hapa umetuangusha mzee baba

Fanya hima ukarudishe ela za watu chaaap acha kuendelea kubishana humu, mana ulichoandika ndicho kinakuhukumu.
 
Back
Top Bottom