Kama ulimwambia utarejesha basi rejesha usijekua miongoni mwa wanafki ambao wakiahidi hawatekelezi ahadi.
Kuhusu kupotezea swala la pesa ukimtajia kwa upande wangu naona anajiepusha na ria/ kujisikia/kujisifu kua amekusaidia na wakati uanvozd kumshukuru shetan nae huenda uleta maradhi ya kujifahari na kama yeye alitoa kama sadaqa basi sadaqa yake ikubaliwe lazima ajieupushe na hyo mada ili asije ona amekusaida saaana akati ni mwenyezi Mungu ndie aliendika msaada wako kwa siku ile utapitia kwa hyu dada.
Mimi hua pia sipendi swala la kushukuriwa sana , maana moyo ni dhaifu mwishowe ujione wewe umesaidia uanze kujisikia