Huyu binti kiukweli nashindwa kumuelewa baada ya kunipa mkopo wa pesa

Mkuu wap nmesema kuwa ananitaka!!yan wana jf mnapenda kuhukum hv mfano mtu akija anataka kujiua mnaeza mkashauri vp mpk akaghair yan weng wao mnafikria mnamitazamo positive san
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
acha kututia aibu wanaume wenzio rudisha hela ya watu!
kwa kifupi huwezi kuwa naye mwanamke kama huyu kwa kuwa yuko smart zaidi yako!
ili uweke sawa rudisha fedha ya watu kwa kupitia simu yake kisha kutengeneza network mtafutie mtoko hata kwa maongezi ya jioni tumia hapo hata laki moja kwa story zingine si za kulialia!
 
Kama ulimwambia utarejesha basi rejesha usijekua miongoni mwa wanafki ambao wakiahidi hawatekelezi ahadi.
Kuhusu kupotezea swala la pesa ukimtajia kwa upande wangu naona anajiepusha na ria/ kujisikia/kujisifu kua amekusaidia na wakati uanvozd kumshukuru shetan nae huenda uleta maradhi ya kujifahari na kama yeye alitoa kama sadaqa basi sadaqa yake ikubaliwe lazima ajieupushe na hyo mada ili asije ona amekusaida saaana akati ni mwenyezi Mungu ndie aliendika msaada wako kwa siku ile utapitia kwa hyu dada.
Mimi hua pia sipendi swala la kushukuriwa sana , maana moyo ni dhaifu mwishowe ujione wewe umesaidia uanze kujisikia
 
Wakuu nimeamua kuleta update kwenu mm sina tabia ya dhulma ila nimesamehewa deni kwahy na bahat nzur nilimrecord kipind naongea nae ila jins ya kuieka hapa nmeshindwa
 

Mkuu nafkr nishatoa update rejea juu ili kufaham zaid
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeongea ujinga alaf badae umeongea point hii nitamuomba weknd hii nimtoe out kidogo kwahyo hiyo pesa yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeongea ujinga alaf badae umeongea point hii nitamuomba weknd hii nimtoe out kidogo kwahyo hiyo pesa yake
baada ya mtoko tuonane kwenye uzi wa riki boy
 
Hili jamaa jinga kweli eti, nilimkarimu vizuri kwa chakula safi na Movie,. Kwaiyo ndo unataka ufanye malipo ya mkopo, Acha kugusia gusia swala hela we unachotakiwa kufanya ni kulipa peaa ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…