radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Wakuu huyu jamaa kila igizo lao la futuhi nikiangaliaga namuona kavaa mshati mkubwa unaoweza kufunika hata VITZ 3.
Mi mashati yake nikiyaonaga yanachekesha sana mara vifungo vimepishama mikono imefichwa kwa utefu wa mshati ni hayo tu
Je huwa wanajishonea?