Huyu Brother "K" wa futuhi mashati yake anapataga wapi?

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
p (1).jpg

Wakuu huyu jamaa kila igizo lao la futuhi nikiangaliaga namuona kavaa mshati mkubwa unaoweza kufunika hata VITZ 3.

Mi mashati yake nikiyaonaga yanachekesha sana mara vifungo vimepishama mikono imefichwa kwa utefu wa mshati ni hayo tu
k.jpg

Je huwa wanajishonea?
 
Hahahahahhaaa huwa naiangaliaga kwa bahati mbaya yaani si mpenzi wa hiyo komedi ila ikinikuta naitizama huyo braza K ananiachaga hoi hehehehehee enewei usiwaze sana ni msukuma huyo yaani hapo anasukuma sukuma tuu ili mambo yaende. ..... kila kitu yeye anasukuma tuu.... mkokoteni anasukuma, toroli anasukuma, ng'ombe anasukuma. ... mwanamke anasukuma iiiggghh ndo hivyo hivyo hata hayo masharti anasukuma tuu muonee huruma tuu shemeji yangu huyo.

Ila kwa majidai na majivuno sasaa looh sijui wanaiga wahaya. .......

Igoloo.
 
Wakuu huyu jamaa kila igizo lao la futuhi nikiangaliaga namuoma brother k kavaa mshati mkubwa unaoweza kufunika hata VITZ 3 je huwa wanajishonea?
Mi mashati yake nikiayaonaga yanachekesha sana mara vifungo vimepishama mikono imefichwa kwa utefu wa mshati ni hayo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahah kasie bana
 
Sio msukuma anaitwa andrew ngonyani
 
Brother K sio msukuma.
 
Wakuu huyu jamaa kila igizo lao la futuhi nikiangaliaga namuoma brother k kavaa mshati mkubwa unaoweza kufunika hata VITZ 3 je huwa wanajishonea?
Mi mashati yake nikiayaonaga yanachekesha sana mara vifungo vimepishama mikono imefichwa kwa utefu wa mshati ni hayo tu

Ukipata majibu nisaidie pia kuniulizia hivi Mkwere wa Mizengwe Show zile Ndala zake ndefu kama Ulimi wa Mamba na vile Viatu vyake vilivyochongoka kwa Urefu kwa mbele kama Samaki Chuchunge huwa anatengenezewa wapi?
 
Back
Top Bottom