Huyu Bwana Achukue Fomu za Ubunge 2025

Huyu Bwana Achukue Fomu za Ubunge 2025

Siasa za bongo hazihitaji watu wenye weledi mkubwa zinahitaji uwe mjinga mjinga, ndio mzee,muongo,ujifanye una uchungu na wananchi kumbe lilamba asali bila huruma.
Jamaa ana uchungu lakini, anapenda haki, haki za Vijana iwe Wanaume, au za Wanawake.

Vilevile yumo kwenye Nyanja nyingi, na kwa Uweledi wake, akichukua ubunge, ndio awe Mshauri mzuri Bungeni.

Bunge nalo linahitaji watu wenye "weledi"
 
Nitamshauri nikikutana nae Achukue Fomu za Ubunge Dar. Kama vile Ubungo, au Kinondoni....hizi sehemu zina Vijana wengi katika majimbo hayo.

Wewe utamshauri jimbo gani, na kwanini?
 
Mlipie wewe hela ya fomu hana hela ya fomu
ndege JOHN,
mie kabwela, sina hili wale lile.
Robert Heriel alisema ana kibanda cha kufundisha Karate kukabiliana na Janga la magenge ya jinai -anawaita Panya Road. Hakupata hela huko?

Hatahivyo,

...tutamchangia hapa JF na wala asiwe na wasiwasi.
 
Twende moja kwa moja kwenye Mada

Robert Heriel achukuwe Fomu yeyote ili katika Uchaguzi unaokuja 2025.
Amejaa shehena, ana kipaji, anaaminika, ni Baba, ni Mkulima, ni mpiga Karate, Ni mfanyabiashara...yaani anaangukia kwa wale wenye Akili sana. Atatupeleka mbali sana
Sifa zote hizo ulizotaja ndio zinamdanya akose sifa za KUTEULIWA kugombea ubunge. Alitakuwa kujua KUSOMA na KUANDIKA tu.
 
Twende moja kwa moja kwenye Mada

Robert Heriel achukuwe Fomu yeyote ili katika Uchaguzi unaokuja 2025.
Amejaa shehena, ana kipaji, anaaminika, ni Baba, ni Mkulima, ni mpiga Karate, Ni mfanyabiashara...yaani anaangukia kwa wale wenye Akili sana. Atatupeleka mbali sana
Amepata...!
 
IMG_6527.jpg

IMG_6526.jpg
 
Mbona, ghafla hivi! Vipi mnataka kumteka dogo wa watu ?

ROBERT HERIEL usijichanganye kukubali kuingia kwenye mitego ya kijinga ya namna hii. Watakuja huko PM wakiomba ushauri, wakikumwagia pongezi, wakitaka urafiki, wengine wanawake wakijirahisisha, wengine wakitoa ofa za koneksheni na dili kubwa-kubwa, na wengine wakitaka mawasiliano yako hasahasa E-Mail wakisema PM siyo salama. Chinjia wote baharini....

Fanya yako na usijaribu kuchanganya maisha ya JF na huko nje. Kama hakuna mwana JF aliyekusaidia kufika hapa ulipo leo, sidhani kama atakuwepo wa kukutoa hapa ulipo na kukupeleka sehemu nyingine. Waliomo humu, ndiyo haohao wa mtaani tu, hawana jipya....
Mbona Unamtisha Bwana Robert?
Hayo ya PM mbona ya kawaida tu.
...halafu kumbe ndio hivi...tumo wote au wewe haumo?
naku nukuu
Waliomo humu, ndiyo haohao wa mtaani tu, hawana jipya....
Usimkandamize mwenzio na kumwogopesha kuchukua Fomu.
 
Back
Top Bottom